samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Wote wawili inabidi wapate adhabu........Dante na Kotei..... walicheza mpira usiokuwa wa kiungwana.....tunawasubiri TFF tuone kama watamwadhibu kotei, zile ngumi za kisogo alizompiga mchezaji wa yanga baada ya kupigwa 'tobo' si za kiungwana hata kidogo, angekuwa ni mchezaji wa yanga ndo amefanya kitendo kile, kamati ya masaa72 ingekuwa imeshatoa maamuzi!
Wote wawili inabidi wapate adhabu........Dante na Kotei..... walicheza mpira usiokuwa wa kiungwana.....
kotei anatakiwa kufungiwa mechi 24 na dante apewe karipio! naona simba wanataka ku-neutralize matukio mawili tofauti kabisaaWote wawili inabidi wapate adhabu........Dante na Kotei..... walicheza mpira usiokuwa wa kiungwana.....
Sasa wewe umetoa adhabu tayari kwa utashi wako ...... acha sheria 17 zifananye kazi yake. Hakuna uhalali kwa yoyote kumpiga mwingine. .....kotei anatakiwa kufungiwa mechi 24 na dante apewe karipio! naona simba wanataka ku-neutralize matukio mawili tofauti kabisaa
tunawasubiri TFF tuone kama watamwadhibu kotei, zile ngumi za kisogo alizompiga mchezaji wa yanga baada ya kupigwa 'tobo' si za kiungwana hata kidogo, angekuwa ni mchezaji wa yanga ndo amefanya kitendo kile, kamati ya masaa72 ingekuwa imeshatoa maamuzi!