ADHABU ZA KADI NYEKUNDU YA MOJA KWA MOJA BAINA YA SIMBA NA YANGA 30/9/18

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Dante kumtandika kichwa shabalala ,na kotei alipompiga ngumi ya wazi kabisa karibu na refa mchezaji wa yanga ,povu lijeeee
 
tunawasubiri TFF tuone kama watamwadhibu kotei, zile ngumi za kisogo alizompiga mchezaji wa yanga baada ya kupigwa 'tobo' si za kiungwana hata kidogo, angekuwa ni mchezaji wa yanga ndo amefanya kitendo kile, kamati ya masaa72 ingekuwa imeshatoa maamuzi!
 
Wote wawili inabidi wapate adhabu........Dante na Kotei..... walicheza mpira usiokuwa wa kiungwana.....
 
kotei anatakiwa kufungiwa mechi 24 na dante apewe karipio! naona simba wanataka ku-neutralize matukio mawili tofauti kabisaa
 
Sasa wewe umetoa adhabu tayari kwa utashi wako ...... acha sheria 17 zifananye kazi yake. Hakuna uhalali kwa yoyote kumpiga mwingine. .....
 
kosa alilofanya kotei angelifanya Yondani, ninahakika kabisa mikia inge andamana mabarabarani kudai 'haki itendeke'
 
Hiyo ya kotei imetia fora aisee, alafu eti Naye ni professional prayer, hatuwezi fika popote kisoka. Kuhusu adhabu kibongobongo hiyo ndiyo imetoka. Kosa lingekuwa limefanywa na Yondani, ungesukia anakula mvua.
tunawasubiri TFF tuone kama watamwadhibu kotei, zile ngumi za kisogo alizompiga mchezaji wa yanga baada ya kupigwa 'tobo' si za kiungwana hata kidogo, angekuwa ni mchezaji wa yanga ndo amefanya kitendo kile, kamati ya masaa72 ingekuwa imeshatoa maamuzi!
 
Tatizo ni kwamba refa alikosa kujiamini baada ya sisi mashabiki wa cmba kuhisi kuwa ni shabiki wa matonya fc kutokana na vile alivyohukumu players wetu kwenye michezo ya zamani
 
Back
Top Bottom