Adhana ikinikuta naendesha gari natakiwa nisimame?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,169
Moja kwa moja kwenye mada.
Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana?
Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa.
Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui.
Wekeni neno hapa mnaweza kutusaidia.
Ahsanteni
 
Sunna ni kuwa ukisikia adhana useme kama anavyosema anayeadhini.

So kama unakula uroda na mkeo wa halali endelea.

Kwma unakunya endelea.

Kama unakula endelea.

Kwma unatembea endelea.

Najua pengine swali lako unataka kulirudisha kwa mama samia why asimame kuongea during adhana.

Sio vibaya alichofanya mama ila kimsingi hakuna pia kuendelea kuongea wakati adhana inalia na wala sio dhambi,

bali kilichopendekezwa na sheria ya uislamu ni kuigankama anavyosema muadhini.
 
Ni upi msingi wa swali lako?
Mambo gani natakiwa kusimama nikisikia adhana?
Hilo tu

Ahsante mkuu kwa majibu yako. Mimi nilijua ni lazima kuacha kila kitu
 
Mambo gani natakiwa kusimama nikisikia adhana?
Hilo tu
Hakuna jambo unalotakiwa kusimamaisha

Isipokuwa inapendezwa zaidi kama utakuwa unaiga kila kinachosemwq kwwnye adhana huku ukiendelea na harakati zako.
 
Ndiyo maana Uisilamu unapingana na matumizi condomu,sababu ukishasema condom umeizinisha zinaa
Hapana mkuu Condom wanaweza kutumia hata wanandoa hasa kama mmoja wao ana magonjwa ya ngono.

Au hawataki kupata mtoto kwa wakati fulani wanaweza kutumia kondomu.

So kondomu ina uwanja mpana wa matumizi ukiachilia mbali matumizi ya zinaa pekee
 
Moja kwa moja kwenye mada.
Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana?
Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa.
Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui.
Wekeni neno hapa mnaweza kutusaidia.
Ahsanteni
Siyo Adhana tu,Hata wimbo wa Taifa,ukikuta unaendesha gari,unatakiwa usimamishe gari na ushuke kwenye gari usimame kwa ukakamavu nje ya gari yako hadi Wimbo wa Taifa au Bendera ya Taifa ikishushwa au kupandishwa!!
 
Angalia usije ukawa unamjaribu Mwenyenzi Mungu na mtume wake Muhammad (SAW)

Adhana ikikukuta chooni utaachaje kukata gogo? Kama unaendesha gari upo highway katika speed kubwa utaachaje kuendesha?

MKUU, Ni kama siku ya Sabato tu kuwa lazima uishimu lakini huwezi ukaacha kumponya au kumtibu mgonjwa siku ya sabato.

Hata Yesu alisema hivyo, pia huwezi ukaacha kumtibu mgonjwa aliye kwny critical condition kiss umesikia adhana, itakuwa ni dhambi.

Allah anajua zaidi.
 
Siyo Adhana tu,Hata wimbo wa Taifa,ukikuta unaendesha gari,unatakiwa usimamishe gari na ushuke kwenye gari usimame kwa ukakamavu nje ya gari yako hadi Wimbo wa Taifa au Bendera ya Taifa ikishushwa au kupandishwa!!
Duh!
 
Moja kwa moja kwenye mada.
Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana?
Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa.
Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui.
Wekeni neno hapa mnaweza kutusaidia.
Ahsanteni
Umefikilia vizuri

Au mwanafunzi anafanya mtihani katikati ya paper tena la somo la essay kama History ikasikika adhana je asimame kufanya mtihani!?!

Au mpishi anachoma nyama ama anasonga ugali katikati ya kusonga akasikia adhana je naye asimame kusonga!?!

Au traffic anayeongoza magari au kusindikiza msafara (let say msafara wa Bi. Mikopo) katikati akasikia adhana je naye asimame kusindikiza msafara!?!
 
Back
Top Bottom