Mambo gani natakiwa kusimama nikisikia adhana?Ni upi msingi wa swali lako?
Sunna ni kuwa ukisikia adhana useme kama anavyosema anayeadhini.Moja kwa moja kwenye mada.
Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana?
Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa.
Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui.
Wekeni neno hapa mnaweza kutusaidia.
Ahsanteni
Mambo gani natakiwa kusimama nikisikia adhana?Ni upi msingi wa swali lako?
Ahsante mkuu kwa majibu yako. Mimi nilijua ni lazima kuacha kila kituSunna ni kuwa ukisikia adhana useme kama anavyosema anayeadhini.
So kama unakula uroda na mkeo wa halali endelea.
Kwma unakunya endelea.
Kama unakula endelea.
Kwma unatembea endelea.
Najua pengine swali lako unataka kulirudisha kwa mama samia why asimame kuongea during adhana.
Sio vibaya alichofanya mama ila kimsingi hakuna pia kuendelea kuongea wakati adhana inalia na wala sio dhambi,
bali kilichopendekezwa na sheria ya uislamu ni kuigankama anavyosema muadhini.
Hakuna jambo unalotakiwa kusimamaishaMambo gani natakiwa kusimama nikisikia adhana?
Hilo tu
Zinaa ni haramu unatakiwa uache hata kama sio wakati wa adhana.Vipi kama nakula uroda na mchepuko, natakiwa nisimame?
Ndiyo maana Uisilamu unapingana na matumizi condomu,sababu ukishasema condom umeizinisha zinaaZinaa ni haramu unatakiwa uache hata kama sio wakati wa adhana.
Hapana mkuu Condom wanaweza kutumia hata wanandoa hasa kama mmoja wao ana magonjwa ya ngono.Ndiyo maana Uisilamu unapingana na matumizi condomu,sababu ukishasema condom umeizinisha zinaa
Siyo Adhana tu,Hata wimbo wa Taifa,ukikuta unaendesha gari,unatakiwa usimamishe gari na ushuke kwenye gari usimame kwa ukakamavu nje ya gari yako hadi Wimbo wa Taifa au Bendera ya Taifa ikishushwa au kupandishwa!!Moja kwa moja kwenye mada.
Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana?
Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa.
Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui.
Wekeni neno hapa mnaweza kutusaidia.
Ahsanteni
Angalia usije ukawa unamjaribu Mwenyenzi Mungu na mtume wake Muhammad (SAW)Moja kwa moja kwenye mada.
Ni matukio gani yanatakiwa kusimama wakati wa adhana?
Mwenye kujua Ilmu ya dini vizuri atueleweshe hapa.
Mfano imenikuta barabarani naendesha au hospitali natibu mgonjwa au chooni au rubani niko narusha ndege au vitani Niko front kwenye fire line na adui.
Wekeni neno hapa mnaweza kutusaidia.
Ahsanteni
Duh!Siyo Adhana tu,Hata wimbo wa Taifa,ukikuta unaendesha gari,unatakiwa usimamishe gari na ushuke kwenye gari usimame kwa ukakamavu nje ya gari yako hadi Wimbo wa Taifa au Bendera ya Taifa ikishushwa au kupandishwa!!
Umefikilia vizuriMoja kwa moja kwenye mada.