Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huwezi kumpima kwa dk 45.Zaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
Algeria wana huruma sanaYusuf kabaki na kipa tena kashindwa kufungwa.
Wawili tu.... ila tusimlaumu goli hugeuka dogo kadri unavyolisogelea.
Hawakukamia mechi....Algeria wana huruma sana
Hawakukamia mechi....
Tunahitaji wachezaji walioshiba Ndungai alilisema akasakamwa.
Husein kumkaba Keita ni kichekesho...kuna yule mwingine kulia ni nani???
Vitalis mayanga ni fundi kuliko uyo YUSUFZaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
Jikite kwenye mada...sasa ndevu zinashida gani?Zaidi ya ndevu na ule ubabe hana cha zaidi ambacho ameonyesha so far, nani alimshauri Amunike amuite huyu jamaa?
Hahaha.Jikite kwenye mada...sasa ndevu zinashida gani?
Tena sanaAlgeria wana huruma sana
Hassan Kessy dogo anajituma balaa Ila mwili mdogo Ila anapambanaHawakukamia mechi....
Tunahitaji wachezaji walioshiba Ndungai alilisema akasakamwa.
Husein kumkaba Keita ni kichekesho...kuna yule mwingine kulia ni nani???