Adi Yussuf huko Uingereza anacheza nini?

Adi Yussuf huko Uingereza anacheza nini?

Hahaha Cheki mpumbavu huyu
Hawakukamia mechi....
Tunahitaji wachezaji walioshiba Ndungai alilisema akasakamwa.

Husein kumkaba Keita ni kichekesho...kuna yule mwingine kulia ni nani???
Screenshot_20190701-232023.jpeg
 
Kakosa goli mbili za wazi fresh tu hata hao mnahis wachezaji wakubwa hukosea, mm nnafikiri hana muunganiko mzuri tu na wachezaji wenzake mfano bolaise kule Congo game nilizomtizama huwezi kusema jamaa anakipiga BPL hivyo ndivyo ilivyo kwa Zaha...Tumeshatoka tuwashabikie Uganda sasa
 
2019 imetuachia maumivu mwenye mpira kwanza ukianza na hamsa hamsa halafu kilio cha Serengeti na sasa ni maumivu ya kuondoka bila hata pointi huko misri.
 
Hawakukamia mechi....
Tunahitaji wachezaji walioshiba Ndungai alilisema akasakamwa.

Husein kumkaba Keita ni kichekesho...kuna yule mwingine kulia ni nani???
Hassan Kessy dogo anajituma balaa Ila mwili mdogo Ila anapambana
 
Back
Top Bottom