Adidas walikuwa na lengo gani na hivi viatu vyao?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Nimefatilia leo historia ya hii kampuni ya vifaa vya michezo ,maarufu kama ADIDAS ila wamenifanya kuogopa na kuwaonea huruma wale wachezaji waliokuwa wanasakata gozi la ng'ombe miaka ya nyuma.

Toka kampuni hii ya vifaa vya michezo ianzishwe July 1924 (ikiwa na umri wa miaka 92 sasa) na enzi hizo ikijulikana kama Gebruder Dassler Schuhfabrik ila ikaja kubadilishwa jina August 18,1949 na kuitwa ADIDAS,Makao yake makuu yakiwa ni Herzogenaur UJERUMANI.

Kilichonifanya nisitaajabu ni hivi viatu ambavyo walianza kutengeneza hapo awali,moyo wangu umeona huruma kwa mabeki na washambuliaji waliokuwa wanacheza wakati huo maana viatu vile vilikuwa sio vya mchezo mchezo bwana.

Nitatoa sample mbili ya viatu vyao wakati wanaanza na hapa walipo sasa hivi ili na wewe uone unyanyasaji huu wa mabeki na washambuliaji. Viatu vya zamani wakati adidas wanaanza utengenezaji wa vifaa vya michezo.



Viatu vya sasa hivi vinavyozalishwa na Kampuni ya ADIDAS.

Na wewe mwanamichezo kwa aina hizo mbili za viatu nini kimekuijia kichwani mwako ?
 
Miaka flani nilitupilia mbali zile raba za kosovo baada ya kununua Adidas Copa Mundial..Hilo ndula la Adidas ilikua ni shida, gafla nikawa naweza kucheza numba zote kiwanjani.
 
Miaka flani nilitupilia mbali zile raba za kosovo baada ya kununua Adidas Copa Mundial..Hilo ndula la Adidas ilikua ni shida, gafla nikawa naweza kucheza numba zote kiwanjani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi kiatu cha Adidas cha mpira bongo duka gani vinauzwa,original product siyo mchina...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…