Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nimefatilia leo historia ya hii kampuni ya vifaa vya michezo ,maarufu kama ADIDAS ila wamenifanya kuogopa na kuwaonea huruma wale wachezaji waliokuwa wanasakata gozi la ng'ombe miaka ya nyuma.
Toka kampuni hii ya vifaa vya michezo ianzishwe July 1924 (ikiwa na umri wa miaka 92 sasa) na enzi hizo ikijulikana kama Gebruder Dassler Schuhfabrik ila ikaja kubadilishwa jina August 18,1949 na kuitwa ADIDAS,Makao yake makuu yakiwa ni Herzogenaur UJERUMANI.
Kilichonifanya nisitaajabu ni hivi viatu ambavyo walianza kutengeneza hapo awali,moyo wangu umeona huruma kwa mabeki na washambuliaji waliokuwa wanacheza wakati huo maana viatu vile vilikuwa sio vya mchezo mchezo bwana.
Nitatoa sample mbili ya viatu vyao wakati wanaanza na hapa walipo sasa hivi ili na wewe uone unyanyasaji huu wa mabeki na washambuliaji.
Viatu vya zamani wakati adidas wanaanza utengenezaji wa vifaa vya michezo.
Viatu vya sasa hivi vinavyozalishwa na Kampuni ya ADIDAS.
Na wewe mwanamichezo kwa aina hizo mbili za viatu nini kimekuijia kichwani mwako ?