Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japokuwa wayahudi wenyewe wasiotakiwa kuwa wayahudi si wayahudi kweli.Halafu kipindi anasema Slavery was a choice...kina Adidas walikuwa kimya.
It seems kule marekani zungumzia wote, wahindi, waarabu,wachina, weusi, wazungu....ila usiwaguse wayahudi
That doesnt matter.Japokuwa wayahudi wenyewe wasiotakiwa kuwa wayahudi si wayahudi kweli.
Asili haitafsiriki hivyo mpaka uyahudi utambulike kwa kizazi kingine unajua ni mangapi yameporwa kuharibiwa au KUFICHwa.ni kanye huyo kasema bila kujali ni nini atapoteza.That doesnt matter.
Maana hata kila mtu duniani alitokea Afrika,
Sasa huwezi kusema wahindi sio wahindi ni waafrika.
What matters ni nani anayetambulika sasa kama myahudi na ana itikadi gani na zina effect zipi...mambo ya historia hayo hayabadilishi chochote.
Yaliporwa yakafichwa yakaharibiwa....in past tense, saivi hatuwezi kuyarudisha.Asili haitafsiriki hivyo mpaka uyahudi utambulike kwa kizazi kingine unajua ni mangapi yameporwa kuharibiwa au KUFICHwa.ni kanye huyo kasema bila kujali ni nini atapoteza.
The devil must loose some dayEnd of an era.
He just pressed the wrong button. You can't beat them, join them.