Adili Mkwela (Adili Chapakazi) ametoweka, hajulikani alipo, siku tatu sasa hapatikani popote, simu zàke zimezimwa, mwake hayupo na hakuna taarifa

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Adili Mkwela, almaarufu kwa Jina la Adili Chapakazi, Hosabati, ametoweka hewani na nyumbani kwake hajapatikana wala kuonekana kutokea majuzi.

Adili ni msanifu wa michoro (graphics designer), mwanamuziki, basketballer, pia ni movie director na producer.

Ametwnheneza na kuongoza videos za wasanii mbali mbali zilizovuma zikiwemo za Mwanafalsafa na Profesa Jay.

Pia wimbo wake wa PEKE YANGU ulivuma sana.

Tusaidiane kimpata kaka yetu huyu mpendwa.



 
CCM wameanza kuteka hadi wasanii? Hatari sana
 
Nilijua ni Mwanasiasa.

Kama sio Mfuasi wa chadema atapatikana tu. Tuendelee na juhudi za kumtafuta

Mungu ni Mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…