adimission letter Udom

adimission letter Udom

kwani kuna jipya lolote tofaut na zile direct cost?zna umhimu gan?

kuna registration 4m,kuna medical examination 4m,pia kuna admission 4m ambayo baada ya ku log in ipo waz ime be atached na jina lk kabisa.kachukue kijana wangu,2kutane oct 12.
 
udom embracing knowledge.
 
Jamani mbona website ya udom haifunguki msaada tafadhari nahitaji forms, please please!!!
 
Niwaambie kitu,

kabla ya kuja chuo hakikisheni mmetoa kop zaidi ya 3, kwa kila chet, yaan form , kuzaliwa, medical examination n.k, Hakikisha kila document unatoa zaid ya kop 3, ili kuepusha usumbufu cku ya registration
 
kwan hizo medical examination mpaka chuon hapo au ni hospital yeyote?
 
Back
Top Bottom