Adinani Hussein hajapatikana licha ya Polisi kupokea Tsh 13 Million kutoka kwa ndugu

Ukiona unapelekwa tazara basi kuna jambo....

Huyu jamaa alikuwa anajishugulisha na biashara gani zingine????

Ngoja niishie hapa

Ova
Polisi haiwezi kukamata tu mtu from no where, hasa polisi hii ya nyakati hizi, ya kisomi, kuna jambo nyuma yake au visasi fulani.
-,Nakemea kutumia polisi kulipa visasi, kisa unamamlaka fulani!
 
Wakatiimnagaianaaa atukuwepo pamabannen na haliizenu
 
MI NTAANZA KUTEMBEEA NA GPS KWENYE MATAKOOO KWA HALII HIII

TUKANUNUE TU CHIP ZILE JAMAN IUNAWEKA TAKO LA KUSHOTO MAANA WAKIKUPIGA WANAPIGA LA KULIA NA MAFIMBOYAOO
 
Huu sio utawala wa Sheria.... inasikitisha sana.
 
Ukiwatoa wanasiasa na wanaharakati wa kuikisia CCM, serikali viongozi kukamatwa na kubambikiwa kesi........ Wengine wanaokamatwa ni wahalifu au wafadhili wa uhalifu.

Tuipongeze polisi na tiss Kwa kazi njema inayolutakatifuza taifa teule la Mungu, Tanzania.

Kama una ndugu jambazi, gaidi, mnunua vitu vya wizi, haramia, jangili, mpiga ramli chonganishi na muuaji wa binadamu mpe mwaka na nusu atakuwa amewasili Kwa Bwana.
 
Uchafuzi wa awamu hii unaendelea kutafuta uhalali wa mhusika asigombee!lakini ni wangapi wataumizwa na kupoteza maisha kwenye mchakato huu!!?

Huu utaratibu umezuka ghafla TU coz haukuwepo hapo kabla!!

Ni dhahiri mhusika anatafutiwa sababu,na kama ana akili ajitokeze hadharani kama hayati alivyoshangaa hadharani kutekwa Kwa Mo dewji!!!

Uchafuzi ,uchafuzi uchafuzi !!

Mawazo huru ya mlipa kodi asiekwepa!
 
Habari hii ni Kisa Cha KWELI au ni Hadithi ya kufungwa tu?????
 
hatupo salama ila kama wana evidence zote izo za no za sim ma recording na tambulisho za miamala kwa watu kwann wasiend kushtak mahakaman wadai hak yao au waend arusha ile mahakama ya kimataifa wakalalamike pengine watapat usaidiz km hata iz mahakam zet wanahis awatopat hak enz za magu watu walitekw wakauwaw mamb yakabadilka tukaongopew aaiv kuna aman ila kwa uhalsia yle mamb ayajakoma saiv ndo yamezd
 
Ni kama umesoma tu Heading ya uzi halafu ukarudi fasta kuja kureply 🤒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…