MAHENGE JR
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 497
- 632
Majibu mengine ni vizuri utafute Google. Ingekuchukua tu sekunde thelathini na ungepata jibu.
Adios ni kwaheri, na Amigo ni rafiki.
Sasa natumai waweza kujijazia
Hata huyu mwanamuziki mkongwe pia alichangia kuenezwa kwa maneno hayo ya ADIOS AMIGOHii ni maana yake katika lugha chanzi ya Kireno. Miaka fulani ya nyuma hapa Tanzania msemo huu ulikuwa unatumika kama salamu ya kisasa kwa vijana badala ya kuwa msemo wa kuagana.
Nadhani walipata athari kutoka kwa mabaharia wa Kireno/Msumbiji ambao walikuwa wanasema Kireno (Kumbuka miaka hiyo kazi ya ubaharia ilikuwa ya kijanja na ndoto ya vijana wengi).
CC Le MutuzHii ni maana yake katika lugha chanzi ya Kireno. Miaka fulani ya nyuma hapa Tanzania msemo huu ulikuwa unatumika kama salamu ya kisasa kwa vijana badala ya kuwa msemo wa kuagana.
Nadhani walipata athari kutoka kwa mabaharia wa Kireno/Msumbiji ambao walikuwa wanasema Kireno (Kumbuka miaka hiyo kazi ya ubaharia ilikuwa ya kijanja na ndoto ya vijana wengi).
Majibu mengine ni vizuri utafute Google. Ingekuchukua tu sekunde thelathini na ungepata jibu.
Adios ni kwaheri, na Amigo ni rafiki.
Sasa natumai waweza kujijazia
Hivi wapendwa hili neno lina maana gani?. naona baadhi ya member wa humu jf hupenda kulitumia mara kadhaa.(adiosamigo) napenda mwenyekujua maana yake atafsiri kwa lugha ya kiswahili ili niweze kulielewa.kuuliza si ujinga........