Adios amigo

Adios amigo

MAHENGE JR

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
497
Reaction score
632
Hivi wapendwa hili neno lina maana gani?. naona baadhi ya member wa humu jf hupenda kulitumia mara kadhaa.(adiosamigo) napenda mwenyekujua maana yake atafsiri kwa lugha ya kiswahili ili niweze kulielewa.kuuliza si ujinga........
 
Majibu mengine ni vizuri utafute Google. Ingekuchukua tu sekunde thelathini na ungepata jibu.

Adios ni kwaheri, na Amigo ni rafiki.

Sasa natumai waweza kujijazia
 
Hii ni maana yake katika lugha chanzi ya Kireno. Miaka fulani ya nyuma hapa Tanzania msemo huu ulikuwa unatumika kama salamu ya kisasa kwa vijana badala ya kuwa msemo wa kuagana.

Nadhani walipata athari kutoka kwa mabaharia wa Kireno/Msumbiji ambao walikuwa wanasema Kireno (Kumbuka miaka hiyo kazi ya ubaharia ilikuwa ya kijanja na ndoto ya vijana wengi).
 
Hata huyu mwanamuziki mkongwe pia alichangia kuenezwa kwa maneno hayo ya ADIOS AMIGO
 
Haya pia ni maneno ysikikayo baina ya wale wanaosema kihispania. Kufuatana na jinsi wanavyoyatumia, ningeenesha maana yake kidogo kuwa kwaheri jamani" pia.
 
Nakumbuka uncle J Nyaisanga RIP, Ukipenda super tall akimalizia kipindi cha "vijana leo" husema "adios amigo"
 
Hii ni maana yake katika lugha chanzi ya Kireno. Miaka fulani ya nyuma hapa Tanzania msemo huu ulikuwa unatumika kama salamu ya kisasa kwa vijana badala ya kuwa msemo wa kuagana.

Nadhani walipata athari kutoka kwa mabaharia wa Kireno/Msumbiji ambao walikuwa wanasema Kireno (Kumbuka miaka hiyo kazi ya ubaharia ilikuwa ya kijanja na ndoto ya vijana wengi).
CC Le Mutuz
 
Hivi wapendwa hili neno lina maana gani?. naona baadhi ya member wa humu jf hupenda kulitumia mara kadhaa.(adiosamigo) napenda mwenyekujua maana yake atafsiri kwa lugha ya kiswahili ili niweze kulielewa.kuuliza si ujinga........

Adios Amigo ni KWAHERI RAFIKI kwa lugha ya ki spaniola
 
Jf ni zaidi ya mitandao yote. yaani nmeridhika na majibu yenu fasaha asanten....
 
Como esta usted senor! Por amor de una mujer.

Kispanish naongea na kuandika kama kisukuma tu

Adios amigo!
 
Back
Top Bottom