Admin wa Social Media za Simba SC hastahili, atafutwe mwingine

Halafu wenzetu timu zao zishakuaga popular na hata wachezaji wao nenda kwenye page ya christiano unakuta kwenye bio hajaandika hata kitu unakuta tu kaweka website au mwingine anaandika tu athletes bac cuz tayar ashakua fame kikwetu kwetu kiji brand kunahutaji nguvu angalia hawa ruvu shootings baada ya kua na masihara wanapost sahii hata fans wanaongezeka na ni faida kwa club kuvutia piaa watu wa biashara huoni joti kazi yake kuchekesha ndio maana tumemfollow sahii anakula deals za dstv tigo nk
 
Kama akipostiwa Ajibu Uto mnateseka kiasi hichi basi na apostiwe kila siku ili mteseke zaidi
 
Nilijiunga ile app ya Simba, na kulipia 2,000/=. Kwa kweli, kwa mwezi mzima, sikuona cha maana nilichokikuta huko.
Yaani, wanazidiwa hata na kile kinachoitwa "MWANAMSIMBAZI!" Nilitegemea taarifa kibao zihusuzo timu yetu tuipendayo, tutazikuta humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…