Admission letter za UDOM

Uncertainty

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70
Reaction score
27
habari za asubuhi waja jf kiukweli nimechaguliwa chuo cha Udom kupitia Nacte na nahitaji kuomba barua ya ruhusa kazini ila kikwazo kikubwa ni kuwa jina langu bado halijafika udom,kwahiyo.siwezi.kupata hiyo barua mpaka jina langu lifike chuoni.
Hivyo ninaomba kwa yeyote aliepata admission letter ya udom anitumie inbox au anipostie.
natanguliza shukrani.
 
admission letter ya UDOM huwa inatoka na jina la mhusika na kozi yake sasa itawezekana vp mkuu!!!!
 
Udom wamesema kama hujaona jna lako kwenye web yao,ucwasumbue.
 
wakubwa naomba kuuliza. Mimi nmechaguliwa udom bsc. with eductn! je, ni lazima nilipe gharama zote kabla ya kusajiliwa? na kama jibu ndiyo inakuwaje kwa m2 ambaye hizo gharama hana na anategemea tu mkopo? mkopo wamenipa 100%...
 
Kalipe laki mbili ya dir. Entry
 
wakubwa naomba kuuliza. Mimi nmechaguliwa udom bsc. with eductn! je, ni lazima nilipe gharama zote kabla ya kusajiliwa? na kama jibu ndiyo inakuwaje kwa m2 ambaye hizo gharama hana na anategemea tu mkopo? mkopo wamenipa 100%...

kaa nyumban uisubirie jf ikupe majb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…