Admission Letters + Joining Instructions - UDSM

Admission Letters + Joining Instructions - UDSM

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
731
Reaction score
614
Wakuu, habari za majukumu.
Naomba kujuzwa, UDSM wanatoa lini admission letters na Joining Instructions, maana siku zinazidi kusonga wazazi hatujui ni nini kinahitajika mpaka sasa.
 
[emoji259]
Screenshot_20201106-185751_Chrome.jpg
 
Hawaja weka admission bado
Miaka ya Nyuma UD admission ilikuwa unachukua pale Nkrumah na unasign Sasa Sina uhakika Kama Sikuhizi nawao wanamfumo Kama wa UDOM unashusha tu kwenye ALIS yao
 
Vyuo vingine vilifunguliwa 21 September tulishawapeleka
 
Mkuu mnatumia simu au computer kudonwnload hizo admission letter? Maana kwangu wanasema server problems muda wote!?

Natumia simu tu mkuu ... Nilikuwa natumia CHROME ikawa inakataa ila nimetumia OPERAMIN imekubali
 
Mkuu mnatumia simu au computer kudonwnload hizo admission letter? Maana kwangu wanasema server problems muda wote!?
Usitumie opera mini.
Tumia chrome. Na hakikisha kule kwenye option umeweka Desktop mode,
Pia unaweza kutumia Phoenix Browser iko poa.
Kwa watumiaji wa Samsung.. ile browser nayo inasupport.

NB. Badala ya Opera mini, tumieni Opera Browser
 
Back
Top Bottom