Admission letters UDOM.

Admission letters UDOM.

Kabika

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Kama kuna mtu yeyote anayejua jinsi ya kupata admission letter UDOM, anisaidie.
 
zile huwa zinapatikana kwenye mtandao,

mtatakiwa kuingiza namba za 4m four au 6 kama sikosei, na surname as pasword, then unadownload pdf kisha unaprint. Ingawa wengne huwa zinagoma kutoka.
 
Kwanza lazima uingizwe kwenye system yao ambayo inaitwa ALIS(Admission Letter Issuing System) then utalogin kwa kutukia form 4 index number as username na surname in capital letter as password, once ukilogin utaona pdf ambayo ni admission letter then utaiprint, that's it.
 
Ila mi nilikuwa nimeapply last year, nikapostpone so problem is; ipo admission letter ya 2013/2014, what can I do?
 
so guys admission letter na join instruction are same?..na hizo admission letter za 2013/2014 zishawekwa kwenye system yao?
 
jaman admission letter,medical examination form zote zipo kweny mtandao wachuo,..kama unapata shida basi piga simu!!
 
Back
Top Bottom