:violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin:
Napenda kuwaarifu students wa first year UDSM kuwa tayari admission letters zimeshaanza kutolewa chuoni. Kwahiyo kama mtu unaweza kufika chuoni unaweza kufika na kukollect letters zako ikiwa ni pamoja na kupiga passport size picture.Nawatakia maandalizi mema.
YES, Passport zinapigwa palepale chuoni kwenye maktaba ya chuo, usiulize kuhusu michango tena kwani passport hizo ni za admission ambayo ni bure yaani hulipi kitu.
YES, Passport zinapigwa palepale chuoni kwenye maktaba ya chuo, usiulize kuhusu michango tena kwani passport hizo ni za admission ambayo ni bure yaani hulipi kitu.
Je,unachukuwa Hzo Form Na Kuondoka Nazo Ili Urudishe Baada Ya Kuzijaza ama?je,huwa Wanatoa Kuanzia Muda Gani Mpaka Muda Gani Na Ni Wapi Zinachukuliwa,ni pale Utawala?.ahsante Kwa Taarika,nimekupendajeee!
yes, unachukua na kuondoka nazo kisha kwenda kuzijaza mahali kunakohusika kama kwa doctor na sehemu nyingine unajaza mwenyewe,ila kuna form mbili ambazo zina majina A naB ambazo itabidi upige copy nakuzirejesha chuoni,form zinachukuliwa nyuma ya Bussiness school kwenye ukumbi ambao mimi ni mgeni siujui jina.Form zitarejeshwa wakati wa orientation