Admission officer ii nactevet kupitia utumishi wanauliza maswali gani?

Admission officer ii nactevet kupitia utumishi wanauliza maswali gani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,511
Reaction score
4,369
Wakuu

Niko nyavuni na hawa jamaa wa utumishi,by 14 June natakiwa kupiga written ya admission officer ii mwajiri ni NACTEVET.

Mwenye kujua maswali ya written wanayouliza hawa jamaa wa utumishi atupe dondoo hapa.
 
Utajua iyo iyo siku maana mpo kama kijiji post 4 sijui
 
Tunaomba muongozo wakuu,nami niko nyavuni
 
Back
Top Bottom