Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Mnaiona mbovu???......haichezi biryani Kama mlivyokariri......ila Mimi naamini kwa kocha huyu tunaenda nusu fainali na zaidi
1..Changamoto kubwa bado Ni kwa fitness ya wachezaji ipo chini Sanaa utasema hawakufanya mazoezi kambini......nadhani Kuna tatizo mahali huenda fitness coach afanyi kazi yake kwa usahihi au wachezaji
2..Nahisi pia power dynamos Ni timu nzuri na ngumu hata wangeingia makundi wangeleta ushindani kwa GIANT unaowajua WW....kiufupi wasingekubali kutolewa kirahisi rahisi
3.....pia Hawa jamaa na kocha walianza kuisoma Simba since mechi ya Simba day hii pia inaweza kuwa factor ilisababisha mechi hizi mbili kuwa ngumu
4.....MWISHO:Mashabiki wa Simba tuache kocha afanye kazi yake as long as tunaenda kwenye malengo yetu na pia mpk Sasa tupo kwenye muelekeo sahihi shida iko wapi???
Pia tuache kufananisha...yanga Ni yanga na Simba Ni Simba tuache Muda uongeee.....nakaribisha maoni!