Ado Ado Aste Aste....Simba

Ado Ado Aste Aste....Simba

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Mnaiona mbovu???......haichezi biryani Kama mlivyokariri......ila Mimi naamini kwa kocha huyu tunaenda nusu fainali na zaidi

1..Changamoto kubwa bado Ni kwa fitness ya wachezaji ipo chini Sanaa utasema hawakufanya mazoezi kambini......nadhani Kuna tatizo mahali huenda fitness coach afanyi kazi yake kwa usahihi au wachezaji

2..Nahisi pia power dynamos Ni timu nzuri na ngumu hata wangeingia makundi wangeleta ushindani kwa GIANT unaowajua WW....kiufupi wasingekubali kutolewa kirahisi rahisi

3.....pia Hawa jamaa na kocha walianza kuisoma Simba since mechi ya Simba day hii pia inaweza kuwa factor ilisababisha mechi hizi mbili kuwa ngumu

4.....MWISHO:Mashabiki wa Simba tuache kocha afanye kazi yake as long as tunaenda kwenye malengo yetu na pia mpk Sasa tupo kwenye muelekeo sahihi shida iko wapi???

Pia tuache kufananisha...yanga Ni yanga na Simba Ni Simba tuache Muda uongeee.....nakaribisha maoni!
 
Kuna timu inatolewa kwenye michuano unasema Yes haikuwa riziki, Kuna timu inafuzu unasema, Mmmm!! ....
Tuwe objective, SIMBA inahitaji mabadiliko upesi....
 
Sawa.....ila hujaweka wazi mkuu mabadiliko kwenye angle gani kocha,viongozi,benchi zima la ufundi n.k
 
Kila kitu Simba Ni kibovu.

1. UONGOZI wenyekiti2 mazuzu

2. Body ya wakurugenzi si WATU wa somi na wataalam WA MPIRA (Asha Baraka.)

3. Mo MUONGO Amekula BILIONI 5 ZA SUPER CUP anasema amesajili yeye.

4. Scauting na Usajili mbovu

5. KOCHA Mbovu kuanzia KOCHA Viungo nk

6.wachezaji WABOVU
Phili, Miquisson, kanute, aubin karamo, Boko nk

WAANZE KWANZA WAO BODY YA WAKURUGENZI
 
simba ina wachezaji wabovu kweli, hili halisemwi ila anatukanwa kocha....
tujiulize, kulikua na umuhimu gani wa kumsajili tena miq? wachezaji wa simba wanasajiliwa kihuni.....
 
Hili pia linafikirisha Asante kwa mawazo yako mkuu
 
simba ina wachezaji wabovu kweli, hili halisemwi ila anatukanwa kocha....
tujiulize, kulikua na umuhimu gani wa kumsajili tena miq? wachezaji wa simba wanasajiliwa kihuni.....
Waarabu sio wajinga hawakupi mchezaji aliyewaaibisha bure....miqq mzito Sanaa aisee mpk nashangaa.....wengi wanamkataa Denis kibu ana mistakes zake kweli za ovyo ila anakupa vitu vingiii....ata kipara akipewa hii Simba mchezaji ambaye atamtumia na kumuamini nahisi Ni kibu
 
Kuhusu robertinho Kama atakuwepo kwenye mechi ya African football league nahisi atawa prove wengi wrong.....tuache muda uongee
 
Mnaiona mbovu???......haichezi biryani Kama mlivyokariri......ila Mimi naamini kwa kocha huyu tunaenda nusu fainali na zaidi

1..Changamoto kubwa bado Ni kwa fitness ya wachezaji ipo chini Sanaa utasema hawakufanya mazoezi kambini......nadhani Kuna tatizo mahali huenda fitness coach afanyi kazi yake kwa usahihi au wachezaji

2..Nahisi pia power dynamos Ni timu nzuri na ngumu hata wangeingia makundi wangeleta ushindani kwa GIANT unaowajua WW....kiufupi wasingekubali kutolewa kirahisi rahisi

3.....pia Hawa jamaa na kocha walianza kuisoma Simba since mechi ya Simba day hii pia inaweza kuwa factor ilisababisha mechi hizi mbili kuwa ngumu

4.....MWISHO:Mashabiki wa Simba tuache kocha afanye kazi yake as long as tunaenda kwenye malengo yetu na pia mpk Sasa tupo kwenye muelekeo sahihi shida iko wapi???

Pia tuache kufananisha...yanga Ni yanga na Simba Ni Simba tuache Muda uongeee.....nakaribisha maoni!
amka usingizini utakojoa
 
Back
Top Bottom