Membe kucheka cheka na ACT is political suicide!ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza videzo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Huku Tanzania hakuna wapinzani zaid ya wasaka tonge
Sasa anajisuicide na nini maana akiwa CCM no impact awe neutral nothing happens ajigaragaze upinzani yote manyaganyanzaMembe kucheka cheka na ACT is political suicide!
Kitengo wapo vzr sana .Ukiapa kulitumikia Taifa n muhimu kuwa mzalendoACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Tatizo la cdm Ni kutojiamini tu,,kisiasa kuhama vyama ndo siasa zenyewe hizo,,lowasa aliwainua Sana cdm,ila kura hazikutosha,,so haina maana Sasa eti ndo inekuwa dhambi kuchukua wageni na kuwapa ugombea,,mbona hata CCM wanachukua kina waitara na kuwapa ugombea?,siasa Ni game na ili ushinde lazima uwe,Master of the GameNdo yale chadema waliyotuletea,wameleta lowasa na akawakimbia tena, wapinzani ni wapumbavu sana
Ndo ujanja wenyewe huo wa kisiasa,wakati cdm bado wanamanga manga,nasikia wanafikilia mgombea awe msigwa au Joseph mbilinyi,,wao ACT wameshaanza kuACT,na kwa member Hilo Ni kulamba jokeli,hata asiposhinda urais,atawainua act Hadi namba twoACT wameona NCCR kitkuwa chama kikubwa hivyo wameamua kujilipua angalau wapate ruzuku bara
Ndo yale chadema waliyotuletea,wameleta lowasa na akawakimbia tena, wapinzani ni wapumbavu sana
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
ACT wameona NCCR kitkuwa chama kikubwa hivyo wameamua kujilipua angalau wapate ruzuku bara
Msigwa au mbilinyi [emoji23][emoji1787][emoji2960]Ndo ujanja wenyewe huo wa kisiasa,wakati cdm bado wanamanga manga,nasikia wanafikilia mgombea awe msigwa au Joseph mbilinyi,,wao ACT wameshaanza kuACT,na kwa member Hilo Ni kulamba jokeli,hata asiposhinda urais,atawainua act Hadi namba two
Hiyo Ni plan C tu,🤣🤣Zito mwenyewe mbona anatoshea tu kuwa mgombea urais bila shida yeyote,na kwa zenj mgombea wanae Tena capable,Pamoja na weaknesses za Membe, I bet he is smarter than this. ACT wanapoteza muda tu na janja yao ya kudhani watamchukua Membe na kumsimamisha ili labda awasaidie kupata viti vingi vya Ubunge (ruzuku nene) sidhani kama itafanikiwa.
Chadema haijafanya kosa lolote la kumchukua Lowassa,Sasa waulize NZI wa kijani watakwambia 2015 ilikuwa hatari hawataki ile hali ijirudie ndio maana wamenunua wapinzani kwa gharama kama YOTE.ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM