PreGE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumesaini kwa shuruti kanuni za maadili lakini kuna vifungu haviko sawa

PreGE2025 Ado Shaibu: ACT Wazalendo tumesaini kwa shuruti kanuni za maadili lakini kuna vifungu haviko sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pamoja na kusaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu kwa mujibu wa sharia zilizopo tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, hata hivyo wamebaini kuwa, kuna baadhi ya vifungu havikuwa sawa na wamepeleka shauri mahakamani kupinga vifungu hivyo ili vifanyiwe marekebisho.
 
Back
Top Bottom