PreGE2025 Ado Shaibu akiri anawaogopa CCM na vyombo vya dola watawaibia kura zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tunatamba mpaka tuamue kutoka aalisikika mjumbe MCC
 
vijana wa chadema mumechanganyikiwa, acheni kiherehere kwa vyama visivyovyenu
 
CCM ina wanachama zaidi ya million 14 inaanzaje kuiba Vikura bwashee?
Kwanini mnaogopa tume huru ambayo haitokani na mwenyekiti wenu, hamtaki matokeo yapingwe mahakamani? Nyie ni majizi mkishirikiana na dola ndio maana muda wote ni vitisho na kumwaga damu, rekebisheni sheria muone kama hamjaachia nchi
 
Safi sana! Wawaibie sana tu hata zote wakiweza! Wamejitia kiherehere kushiriki uchaguzi usiokuwa huru na haki, wacha waibiwe mpaka mawakala wao mpaka akili ziwakae sawa. Si walisema watashiriki uchaguzi hata kama wataiibiwa kura, sasa kelele za nini wakati uchaguzi bado? Walishaambiwa NO REFORMS, NO ELECTION wakapuuza, watulie, watanyolewa na wembe ule ule ushindi kwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…