Anaweza kuwa na ushawishi, lakini chama chake hakina ushawishi pale. Kwa uchaguzi huru hawezi kupata 30% ya kura.Kura zipi? Kule Kigoma Mjini Baba Levo ana ushawishi mkubwa.

Anapita mle mle mwa No Reforms No Elections ili Reforms zikifanyika na ACT wajinasibu kuwa wana mchango wao.Kwani Shaibu alikuwa hajui kama policcm ni idara ya chama?
ACT ni chawa, hawaaminiki. Hiko kilio itakuwa sinema ya kupumbaza watu tu.
No Reforms No Election..
POLISI WAACHE KUINGILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kuwa Jeshi la Polisi kupitia Makamanda wa Polisi (OCD's) na Maofisa wengine waandamizi wa Polisi wameanza kufanya mawasiliano na viongozi wetu kuwataka kuwasilisha majina ya wagombea wa Ubunge na Udiwani. Tumeelezwa kuwa kwenye baadhi ya maeneo, Wakuu wa Wilaya pia wamekuwa wakiwapigia simu viongozi wetu kuhitaji taarifa hizo.
Maeneo yaliyoripotiwa kwa Jeshi la Polisi kuhitaji taarifa za watiania wa Ubunge na Udiwani ni Kilwa, Kigamboni, Kinondoni, Magu na Tarime.
Hatua hii ya Jeshi la Polisi ni kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi. Hakuna popote kwenye sheria za uchaguzi ambapo Chama cha siasa kinawajibika kuwasilisha kwa Jeshi la Polisi au Mkuu wa Wilaya taarifa za watiania wa vyama vya siasa. Hatua pekee ambayo Chama cha siasa kinapaswa kuwasilisha utambulisho wa wagombea ni kwa Tume ya Uchaguzi wakati wa kuchukua fomu.
ACT Wazalendo inaamini kuwa hatua hii ya Jeshi la Polisi haina nia njema kwenye mchakato wa uchaguzi. Ni hatua ambayo inalenga kuwatisha au kuwalaghai wagombea wetu.
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
1. ACT Wazalendo tumemuandikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Jenerali Wambura kumtaka kusitisha zoezi hilo haramu linaloendelea nchi nzima. Ni imani yetu kuwa ili kujiepusha kuingilia mchakato wa uchaguzi, Jeshi la Polisi litasitisha mara moja hatua hii.
2. ACT Wazalendo tumemuandikia Msajili wa Vyama vya Siasa kulalamikia hatua hii ya Jeshi la Polisi na Wakuu wa Wilaya na kuomba hatua ichukuliwe kuzuia vitendo hivi.
3. ACT Wazalendo kimewaandikia viongozi wake nchi nzima kuwataka wasitekeleze wito wa Jeshi la Polisi wa kuwasilisha taarifa za wagombea kwa Jeshi la Polisi.
4. ACT Wazalendo tumeiandikia Tume ya Uchaguzi nchini (INEC) kuitaka kutoa tamko kwa Jeshi la Polisi kutoingilia mchakato wa uteuzi wa ndani ya vyama vya siasa.
WITO NA MSIMAMO WETU
1. ACT Wazalendo tunalitaka Jeshi la Polisi kuacha zoezi lake la kuwasiliana na viongozi wetu majimboni kuhitaji taarifa za wagombea kwa sababu zoezi hilo ni kinyume na sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi.
2. Viongozi wa ACT Wazalendo wameagizwa kutotoa taarifa kwa Jeshi la Polisi zinazohusu wagombea wa ACT Wazalendo.
3. ACT Wazalendo tumeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 tukipambania mageuzi hadi dakika ya mwisho. Hatutaacha kuzikumbusha na kuziwajibisha mamlaka mbalimbali katika kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu unakuwa huru, wa haki na wa kuaminika. Tutafanya hivyo bila hofu.
ACT Wazalendo, Taifa kwanza leo na kesho.
Imetolewa na;
Ado Shaibu
Katibu Mkuu ACT Wazalendo
10 Julai, 2025.
🤣 🤣 🤣 🔊Labda wanampinga Kitima aliyewafananisha na timu ya kijiji
Halafu ndiyo kwanzaaa saa moja asubuhiItakuwa wameamua kumuunga mkono baba Levo mgalatia 🐼
Sasa safari hii watazuiaje upuuzi huu hawa ACT?Msimamo wa timu ya kijiji mbele ya refa aliyevaa jezi ya kijani ni kulinda Kura View attachment 3400201
Mkuu 'Palm Beach', nadhani hiyo anayo lalamikia Zitto hapo ni uchaguzi wa 2020.Nyie ACT Wazalendo nyie, ina maana hamjatambua tu kuwa RCs, DCs, DEDs, TCDs, CCDs, RPCs na OCDs chini ya mfumo huu wa uchaguzi unaotakiwa kubadilishwa, virtually nao ni sehemu ya Tume ya Uchaguzi ya Taifa..?
Nyie ACT WAZALENDO ina maana mpaka leo hamjui dhana, maana na lengo la NO REFORMS NO ELECTION? Kama mlikuwa hamjui, maana yake ndiyo hii sasa ambako kabla hamjafikia robo ya safari ya kuifikia siku ya uchaguzi, CCM wanatamba kuwa tayari wameshinda kwa 99.99%...
Hata mlinde kura mkitumia uchawi wa Kigoma na Sumbawanga kote, hamtaweza kupata hata kito kimoja cha ubunge au udiwani unless otherwise muuze roho na utu wetu kwa CCM wawape chochote...!!
POLISI WAACHE KUINGILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kuwa Jeshi la Polisi kupitia Makamanda wa Polisi (OCD's) na Maofisa wengine waandamizi wa Polisi wameanza kufanya mawasiliano na viongozi wetu kuwataka kuwasilisha majina ya wagombea wa Ubunge na Udiwani. Tumeelezwa kuwa kwenye baadhi ya maeneo, Wakuu wa Wilaya pia wamekuwa wakiwapigia simu viongozi wetu kuhitaji taarifa hizo.
Maeneo yaliyoripotiwa kwa Jeshi la Polisi kuhitaji taarifa za watiania wa Ubunge na Udiwani ni Kilwa, Kigamboni, Kinondoni, Magu na Tarime.
Hatua hii ya Jeshi la Polisi ni kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi. Hakuna popote kwenye sheria za uchaguzi ambapo Chama cha siasa kinawajibika kuwasilisha kwa Jeshi la Polisi au Mkuu wa Wilaya taarifa za watiania wa vyama vya siasa. Hatua pekee ambayo Chama cha siasa kinapaswa kuwasilisha utambulisho wa wagombea ni kwa Tume ya Uchaguzi wakati wa kuchukua fomu.
ACT Wazalendo inaamini kuwa hatua hii ya Jeshi la Polisi haina nia njema kwenye mchakato wa uchaguzi. Ni hatua ambayo inalenga kuwatisha au kuwalaghai wagombea wetu.
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
1. ACT Wazalendo tumemuandikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Jenerali Wambura kumtaka kusitisha zoezi hilo haramu linaloendelea nchi nzima. Ni imani yetu kuwa ili kujiepusha kuingilia mchakato wa uchaguzi, Jeshi la Polisi litasitisha mara moja hatua hii.
2. ACT Wazalendo tumemuandikia Msajili wa Vyama vya Siasa kulalamikia hatua hii ya Jeshi la Polisi na Wakuu wa Wilaya na kuomba hatua ichukuliwe kuzuia vitendo hivi.
3. ACT Wazalendo kimewaandikia viongozi wake nchi nzima kuwataka wasitekeleze wito wa Jeshi la Polisi wa kuwasilisha taarifa za wagombea kwa Jeshi la Polisi.
4. ACT Wazalendo tumeiandikia Tume ya Uchaguzi nchini (INEC) kuitaka kutoa tamko kwa Jeshi la Polisi kutoingilia mchakato wa uteuzi wa ndani ya vyama vya siasa.
WITO NA MSIMAMO WETU
1. ACT Wazalendo tunalitaka Jeshi la Polisi kuacha zoezi lake la kuwasiliana na viongozi wetu majimboni kuhitaji taarifa za wagombea kwa sababu zoezi hilo ni kinyume na sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi.
2. Viongozi wa ACT Wazalendo wameagizwa kutotoa taarifa kwa Jeshi la Polisi zinazohusu wagombea wa ACT Wazalendo.
3. ACT Wazalendo tumeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 tukipambania mageuzi hadi dakika ya mwisho. Hatutaacha kuzikumbusha na kuziwajibisha mamlaka mbalimbali katika kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu unakuwa huru, wa haki na wa kuaminika. Tutafanya hivyo bila hofu.
ACT Wazalendo, Taifa kwanza leo na kesho.
Imetolewa na;
Ado Shaibu
Katibu Mkuu ACT Wazalendo
10 Julai, 2025.
View attachment 3400311
View attachment 3400312
Exactly, anajifanya anatoa lugha kali ili kuhadaa watu waone kuna wapinzani wa kweli ili kujae wapiga kura vituoni.Mkuu 'Palm Beach', nadhani hiyo anayo lalamikia Zitto hapo ni uchaguzi wa 2020.
Kwake Zitto, hiyo ni tofauti kubwa sana na huu wa 2025.
ACT ni sehemu muhimu ya mpango mzima wa kuchafua uchaguzi; kwa hiyo Zitto hawezi kuona ubaya wowote na yanayofanyika sasa hivi.
Zitto ni sehemu ya GENGE la Samia. Ni kiungo muhimu katika kuhakikisha Samia na GENGE wanaendelea madarakani.
Ni muhimu watu waielewe hiyo tofauti .
Mkuu 'Tindo', sijui kama nimechelewa kukumbushia, lakini nadhani ni wakati mwafaka sana sasa hivi kumaliza zile tofauti zetu za kijadi juu ya nadharia ambazo tumekuwa tukichanganyana kati yetu; Pamoja na kwamba hazikutofautiana sana.Exactly, anajifanya anatoa lugha kali ili kuhadaa watu waone kuna wapinzani wa kweli ili kujae wapiga kura vituoni.
POLISI WAACHE KUINGILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kuwa Jeshi la Polisi kupitia Makamanda wa Polisi (OCD's) na Maofisa wengine waandamizi wa Polisi wameanza kufanya mawasiliano na viongozi wetu kuwataka kuwasilisha majina ya wagombea wa Ubunge na Udiwani. Tumeelezwa kuwa kwenye baadhi ya maeneo, Wakuu wa Wilaya pia wamekuwa wakiwapigia simu viongozi wetu kuhitaji taarifa hizo.
Maeneo yaliyoripotiwa kwa Jeshi la Polisi kuhitaji taarifa za watiania wa Ubunge na Udiwani ni Kilwa, Kigamboni, Kinondoni, Magu na Tarime.
Hatua hii ya Jeshi la Polisi ni kinyume na sheria na kanuni za uchaguzi. Hakuna popote kwenye sheria za uchaguzi ambapo Chama cha siasa kinawajibika kuwasilisha kwa Jeshi la Polisi au Mkuu wa Wilaya taarifa za watiania wa vyama vya siasa. Hatua pekee ambayo Chama cha siasa kinapaswa kuwasilisha utambulisho wa wagombea ni kwa Tume ya Uchaguzi wakati wa kuchukua fomu.
ACT Wazalendo inaamini kuwa hatua hii ya Jeshi la Polisi haina nia njema kwenye mchakato wa uchaguzi. Ni hatua ambayo inalenga kuwatisha au kuwalaghai wagombea wetu.
HATUA ZILIZOCHUKULIWA
1. ACT Wazalendo tumemuandikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Jenerali Wambura kumtaka kusitisha zoezi hilo haramu linaloendelea nchi nzima. Ni imani yetu kuwa ili kujiepusha kuingilia mchakato wa uchaguzi, Jeshi la Polisi litasitisha mara moja hatua hii.
2. ACT Wazalendo tumemuandikia Msajili wa Vyama vya Siasa kulalamikia hatua hii ya Jeshi la Polisi na Wakuu wa Wilaya na kuomba hatua ichukuliwe kuzuia vitendo hivi.
3. ACT Wazalendo kimewaandikia viongozi wake nchi nzima kuwataka wasitekeleze wito wa Jeshi la Polisi wa kuwasilisha taarifa za wagombea kwa Jeshi la Polisi.
4. ACT Wazalendo tumeiandikia Tume ya Uchaguzi nchini (INEC) kuitaka kutoa tamko kwa Jeshi la Polisi kutoingilia mchakato wa uteuzi wa ndani ya vyama vya siasa.
WITO NA MSIMAMO WETU
1. ACT Wazalendo tunalitaka Jeshi la Polisi kuacha zoezi lake la kuwasiliana na viongozi wetu majimboni kuhitaji taarifa za wagombea kwa sababu zoezi hilo ni kinyume na sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi.
2. Viongozi wa ACT Wazalendo wameagizwa kutotoa taarifa kwa Jeshi la Polisi zinazohusu wagombea wa ACT Wazalendo.
3. ACT Wazalendo tumeamua kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 tukipambania mageuzi hadi dakika ya mwisho. Hatutaacha kuzikumbusha na kuziwajibisha mamlaka mbalimbali katika kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu unakuwa huru, wa haki na wa kuaminika. Tutafanya hivyo bila hofu.
ACT Wazalendo, Taifa kwanza leo na kesho.
Imetolewa na;
Ado Shaibu
Katibu Mkuu ACT Wazalendo
10 Julai, 2025.
View attachment 3400311
View attachment 3400312
Ya mwanzo ni ipi, na ya pili ni ipi?Mkuu 'Tindo', sijui kama nimechelewa kukumbushia, lakini nadhani ni wakati mwafaka sana sasa hivi kumaliza zile tofauti zetu za kijadi juu ya nadharia ambazo tumekuwa tukichanganyana kati yetu; Pamoja na kwamba hazikutofautiana sana.
Nadharia zile zisiPotimizwa safari hii ; itakuwa bahati mbaya sana kwa taifa letu hili.
Wakati sahihi ni huu; 'ingredients' zote ziPo sawasawa kabisa.
"NO REFORMS, ..."NO ELECTION"" Naikoleza hiyo; kwa vile nadharia zetu zinaanzia hapo.
Sijui wewe una maoni gani, kwani bado sijakusikia. Sana sana naendelea kusikia ukikazia ile sehemu ya mwanzo tu, ambayo imezoeleka kwetu sote.
Asee kweli hawa ACT hawajioni wao ndo wa🤐😁. Ety walisema wanaopinga uchaguzi sjui nin, mapemaa wameanza kuingi🤭waWalisema wanabaki kupambana sasa mbona wanaanza kulialia tena