GE2025 Ado Shaibu anatoa msimamo wa ACT, leo Julai 10, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani Shaibu alikuwa hajui kama policcm ni idara ya chama?

ACT ni chawa, hawaaminiki. Hiko kilio itakuwa sinema ya kupumbaza watu tu.

No Reforms No Election..
Anapita mle mle mwa No Reforms No Elections ili Reforms zikifanyika na ACT wajinasibu kuwa wana mchango wao.
 
Komaeni tu si mtalinda kura?
 
Hawa nao wanajichanganya sana
 

Attachments

  • VID-20250710-WA0006.mp4
    1.7 MB
Mkuu 'Palm Beach', nadhani hiyo anayo lalamikia Zitto hapo ni uchaguzi wa 2020.

Kwake Zitto, hiyo ni tofauti kubwa sana na huu wa 2025.
ACT ni sehemu muhimu ya mpango mzima wa kuchafua uchaguzi; kwa hiyo Zitto hawezi kuona ubaya wowote na yanayofanyika sasa hivi.
Zitto ni sehemu ya GENGE la Samia. Ni kiungo muhimu katika kuhakikisha Samia na GENGE wanaendelea madarakani.

Ni muhimu watu waielewe hiyo tofauti .
 
Habari wana jamvi, mi natafakari hii statement ukiitafakari kwa kina na kwa jicho lingine mi naona ni Mpango wa Deep State wakisaidiana na ACT WAZALENDO kuendelea kuteka public attention na ili pia kujustify kwamba na wawo pia wanakuwa threatened na Serikali. Mi nimetafakari hivi kweli Wagombea wa ACT WAZALENDO hawajulikani publicly? Kwamba ni siri kwahiyo police wanatumia nguvu kutafuta taarifa zao? This is typically fabricated event isiyo na msingi na mantiki yoyote.
 
Exactly, anajifanya anatoa lugha kali ili kuhadaa watu waone kuna wapinzani wa kweli ili kujae wapiga kura vituoni.
 
Exactly, anajifanya anatoa lugha kali ili kuhadaa watu waone kuna wapinzani wa kweli ili kujae wapiga kura vituoni.
Mkuu 'Tindo', sijui kama nimechelewa kukumbushia, lakini nadhani ni wakati mwafaka sana sasa hivi kumaliza zile tofauti zetu za kijadi juu ya nadharia ambazo tumekuwa tukichanganyana kati yetu; Pamoja na kwamba hazikutofautiana sana.

Nadharia zile zisiPotimizwa safari hii ; itakuwa bahati mbaya sana kwa taifa letu hili.
Wakati sahihi ni huu; 'ingredients' zote ziPo sawasawa kabisa.

"NO REFORMS, ..."NO ELECTION"" Naikoleza hiyo; kwa vile nadharia zetu zinaanzia hapo.

Sijui wewe una maoni gani, kwani bado sijakusikia. Sana sana naendelea kusikia ukikazia ile sehemu ya mwanzo tu, ambayo imezoeleka kwetu sote.
 
Hawa Mamluki tumewaonya mno lakini wakapuuza.

Wasimlilie mtu
 
Ya mwanzo ni ipi, na ya pili ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…