Ado Shaibu asema Soko Kuu la Tunduru (Soko la Azimio) lipo katika hali mbaya, ahoji ujenzi utaanza lini?

Ado Shaibu asema Soko Kuu la Tunduru (Soko la Azimio) lipo katika hali mbaya, ahoji ujenzi utaanza lini?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akiwa Bungeni leo Septemba 2, 2026 amehoji kuhusu ujenzi wa soko la kisasa na la kimkakati katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ambalo ameeleza kuwa Soko Kuu la Azimio lililopo sasa halikidhi mahitaji ya mazingira ya sasa.
 
Back
Top Bottom