Ado Shaibu: CCM na Serikali hazina nia ya dhati ya KATIBA mpya

Ado Shaibu: CCM na Serikali hazina nia ya dhati ya KATIBA mpya

Kadhakan

Senior Member
Joined
Jul 20, 2026
Posts
126
Reaction score
201
Mbunge Ado Shaibu wa jimbo la Tunduru Chama cha ACT-Wazalendo amewasilisha hoja nzito akibainisha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hazina madhumuni ya dhati ya kuwapatia Watanzania Katiba Mpya.

Akizungumza katika Kongamano la Vijana lililobeba kaulimbiu ya "Katiba Mpya, Msingi wa Haki" leo 12 August 2026 ,Ado ameeleza kuwa uzoefu wa shughuli za Bunge unaonyesha wazi jinsi mchakato huo ulivyowekwa kando.

Soma pia:Ado Shaibu: Wanajifanya nao wanataka Katiba Mpya kama mbinu ya kuhujumu na kuchelewesha mchakato

Amesema kutokutengwa kwa bajeti 2026/2027 na ukosefu wa mpango kazi wa serikali inaonyesha dhahiri serikali ya awamu ya sita imetelekeza mpango wa kuunda katiba mpya

 
Haileti ugali mezani, so far dk samia analeta maendeleo yaani mabarabara yanajengwa, sgr to mza na to kgm hiyo inachapa mwendo.
 
Mbunge Ado Shaibu wa jimbo la Tunduru Chama cha ACT-Wazalendo amewasilisha hoja nzito akibainisha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan hazina madhumuni ya dhati ya kuwapatia Watanzania Katiba Mpya.
hakuna haja ya kuweweseke mh.Ado Shaibu,
suala la katiba mpya lipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM kama vilivyo vipaumbele vingine muhimu vya wananchi. Na kwa wakati muafaka, kila kimoja litatekelezwa kadiri ya mahitaji ya wananchi na ratiba ya ilani hiyo ya CCM.

hakuna haja ya kubabaika wala kupotosha umma au wanachama wa chama chako 🐒
 
Wasiokuwa na nia ya dhati ni vyama kama ACT ndio vinakipa kiburi CCM. Mnang'ata na kupuliza ndio shida yenu
 
hakuna haja ya kuweweseke mh.Ado Shaibu,
suala la katiba mpya lipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM kama vilivyo vipaumbele vingine muhimu vya wananchi. Na kwa wakati muafaka, kila kimoja litatekelezwa kadiri ya mahitaji ya wananchi na ratiba ya ilani hiyo ya CCM.

hakuna haja ya kubabaika wala kupotosha umma au wanachama wa chama chako 🐒
Ccm inatetewa na majinga majinga kama hili kupigwa mzigo.
 
Back
Top Bottom