Mbunge Ado Shaibu amesema akichangia Bungeni leo, Mei 19, 2026 amesema kuwa kati ya vitu ambavyo Jeshi linapaswa kuvilinda sana ni kutojihusidha na Siasa.
Hayo ameyasema akiwa Bungeni wakati akichangia hoja
Pia soma: ACT Wazalendo: Spika Zungu anatumia madaraka vibaya, amkalisha chini Ado kuzima sauti ya wananchi