Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sasa wewe chadema kinakuuma Nini? Kwani lengo la chadema ni lipi? Kila chama kitekeleze malengo yake full stop.Hawa jamaa waache longolongo. Tunajua kabisa nia yao ni vyeo na ving'ora na siyo kutetea wananchi, wawe wazanziba au watanganyika. Sasa hivi wanajifanya kuanza kupiga kelele, ohoo mara tutajitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa, mara ohoo tutakwenda mahakamani.... waongo hawa. Uchaguzi utafanyika, wataibiwa kura, watapewa wabunge hasa huko Pemba, kiongozi wao ataingizwa tena kwenye serikali yao ya geresha na kupewa ving'ora, na watasahau kila kitu. Kwa kifupi hawa watu lengo lao ni ving'ora na ubunge. Wabinafsi wakubwa.
Vyama viko kwa mujibu wa katiba na katiba ni ya watanzania. Vyama vinawajibika ka watanzania wote, hivyo basi kila mtu ana haki ya ''kuumwa'' anapoona chama kinafanya mambo ya kinafiki.Sasa wewe chadema kinakuuma Nini? Kwani lengo la chadema ni lipi? Kila chama kitekeleze malengo yake full stop.
ACT wazalendo lengo Ni ving'ora
CCM lengo ni madaraka
CHADEMA lengo ni NR NE.
Tatizo Nini?
Act mmekosea sana. Mngetakiwa muungane na hoja ya CDM Ili kijani waishiwe pumzi totally na wangejitafakari na kuamua kurejea kwenye hoja ya msingi kufanya mabadiliko kwenye Sheria na kanuni za uchaguzi.Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya sheria na kanuni za Maadili ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha Kinagaubaga kinachorushwa na idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (DW) leo Aprili 15, 2025, Shaibu ameeleza kuwa eneo jingine linalopaswa kupewa kipaumbele na vyama vinavyopingana na baadhi ya sheria na mifumo ya uchaguzi ni pamoja na kuhamasisha Jamii kuungana nao katika kudai Katiba mpya itakayokuwa na mifumo ya haki na uhuru katika chaguzi za kisiasa zitakazokuwa zinafanyika nchini.
View attachment 3305355Akizungumzia hoja ya Viongozi wa CCM kudai kuwa muda umeisha wa kufanya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, Ado ameieleza idhaa hiyo ya kiswahili kuwa bado upo uwezekano wa kupeleka bungeni ajenda maalum ya marekebisho ya sheria na mifumo ya uchaguzi ikiwa tu dhamira hiyo itabebwa na serikali iliyopo madarakani.
Ado Shaibu ameiambia Dw kwamba Chama chao hakitokata tamaa katika kudai mabadiliko ya sheria, akieleza kuwa kutofautiana njia za kudai haki hiyo kati ya ACT Wazalendo na Chama cha Demokrasia na maendeleo ambao malalamiko na hoja zao zimefanana, hakuathiri chochote kwani tayari walishakaa kikao na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kukubaliana baadhi ya mikakati katika kudai mifumo huru, yenye usawa na haki katika kusimamia chaguzi za kisiasa.
See translation
Source: Jambo Tv
Tume yenyewe haijui ilitendalo , ACT hawajui hili ? Tume sio katiba ya nchi ,Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya sheria na kanuni za Maadili ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza kwenye kipindi cha Kinagaubaga kinachorushwa na idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (DW) leo Aprili 15, 2025, Shaibu ameeleza kuwa eneo jingine linalopaswa kupewa kipaumbele na vyama vinavyopingana na baadhi ya sheria na mifumo ya uchaguzi ni pamoja na kuhamasisha Jamii kuungana nao katika kudai Katiba mpya itakayokuwa na mifumo ya haki na uhuru katika chaguzi za kisiasa zitakazokuwa zinafanyika nchini.
View attachment 3305355Akizungumzia hoja ya Viongozi wa CCM kudai kuwa muda umeisha wa kufanya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, Ado ameieleza idhaa hiyo ya kiswahili kuwa bado upo uwezekano wa kupeleka bungeni ajenda maalum ya marekebisho ya sheria na mifumo ya uchaguzi ikiwa tu dhamira hiyo itabebwa na serikali iliyopo madarakani.
Ado Shaibu ameiambia Dw kwamba Chama chao hakitokata tamaa katika kudai mabadiliko ya sheria, akieleza kuwa kutofautiana njia za kudai haki hiyo kati ya ACT Wazalendo na Chama cha Demokrasia na maendeleo ambao malalamiko na hoja zao zimefanana, hakuathiri chochote kwani tayari walishakaa kikao na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kukubaliana baadhi ya mikakati katika kudai mifumo huru, yenye usawa na haki katika kusimamia chaguzi za kisiasa.
See translation
Source: Jambo Tv
UjingaKatibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya sheria na kanuni za Maadili ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Nilitaka kutofautiana na wewe kidogo katika maelezo yako; lakini kwa ujumla wake uko sahihi. hawa kwa kukubali kulegeza msimamo ni kuwapa fursa CCM kuwatumia na kudhoofisha juhudi za CHADEMA.Hawa jamaa waache longolongo. Tunajua kabisa nia yao ni vyeo na ving'ora na siyo kutetea wananchi, wawe wazanziba au watanganyika. Sasa hivi wanajifanya kuanza kupiga kelele, ohoo mara tutajitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa, mara ohoo tutakwenda mahakamani.... waongo hawa. Uchaguzi utafanyika, wataibiwa kura, watapewa wabunge hasa huko Pemba, kiongozi wao ataingizwa tena kwenye serikali yao ya geresha na kupewa ving'ora, na watasahau kila kitu. Kwa kifupi hawa watu lengo lao ni ving'ora na ubunge. Wabinafsi wakubwa.