Ado Shaibu: Namuomba Mungu Mapambano ya kuing'oa CCM Madarakani yafanikiwe

Ado Shaibu: Namuomba Mungu Mapambano ya kuing'oa CCM Madarakani yafanikiwe

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema hayo Aprili 27,2026 akiwa katika mahojiano Wasafi FM


​
 
CCM itakufa ila kwa sababu za ndani ya CCM yenyew na sio mvutano kutoka nje
 
Hayo mapambano yatafanikiwa vipi na wakati hata huo ubunge wake wenyewe ni wa kupewa? Kwani wangemnyima angewafanya kwa aina ya Katiba na tume mbovu ya uchaguzi tuliyo nayo?
 
Back
Top Bottom