R Richer JF-Expert Member Joined Jun 9, 2025 Posts 2,318 Reaction score 4,079 Apr 28, 2026 #1 Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema hayo Aprili 27,2026 akiwa katika mahojiano Wasafi FM Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema hayo Aprili 27,2026 akiwa katika mahojiano Wasafi FM Your browser is not able to display this video.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,692 Reaction score 41,138 Apr 28, 2026 #2 Haogopi wasiojulikana?
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,987 Apr 28, 2026 #3 CCM itakufa ila kwa sababu za ndani ya CCM yenyew na sio mvutano kutoka nje
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 28, 2026 #4 Hayo mapambano yatafanikiwa vipi na wakati hata huo ubunge wake wenyewe ni wa kupewa? Kwani wangemnyima angewafanya kwa aina ya Katiba na tume mbovu ya uchaguzi tuliyo nayo?
Hayo mapambano yatafanikiwa vipi na wakati hata huo ubunge wake wenyewe ni wa kupewa? Kwani wangemnyima angewafanya kwa aina ya Katiba na tume mbovu ya uchaguzi tuliyo nayo?