Hata laki 6 hayafiki ni utapeli tupuMajizi ya Ccm hayafiki million 5, na uhalisia ni kuwa huku mtaani watu kibao hawana itikadi ya chama chochote wao huwa wanaenda na upepo
Nenda ofisi zote sasa hivi za CCM kaangalie maelfu wanavyochukua kadi zao mpya za CCM kama njuguMajizi ya Ccm hayafiki million 5, na uhalisia ni kuwa huku mtaani watu kibao hawana itikadi ya chama chochote wao huwa wanaenda na upepo
Hawezi elewa hilo, ni wivu na kukata tamaa mapemaNenda ofisi zote sasa hivi za CCM kaangalie maelfu wanavyochukua kadi zao mpya za CCM kama njugu
CCM ni wataalamu wa ku cook dataKatibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.
itasaidia nini sasa na hana athari zozote akiwa katibu mkuu au vinginevyo 🐒Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.
Yaani unaacha utapeli wa addo shaibu wa kufikisha wanachama mil 10 July unaongelea CCM kweli?CCM ni matapeli tupu
Siyo kweli, labda wako 400 tuu. Laki 4 wangechanga 100 tu ni sh ngapi za gari ya Lissu.Chadema Ina Wanachama Laki 4 by Mchungaji Msigwa 😂
Yaani Chama kina miaka 48 na ni muunganiko wa TANU na Afro Shirazi wanachama wasifike milioni 12.5 lakini Chama kinachodaiwa kuwa na wanachama milioni 1 kifikishe wanachama milioni 10 mwezi July?Yaani unaacha utapeli wa addo shaibu wa kufikisha wanachama mil 10 July unaongelea CCM kweli?
CCM nyie ni wajinga na matapeli tupuYaani unaacha utapeli wa addo shaibu wa kufikisha wanachama mil 10 July unaongelea CCM kweli?
Siyo wote wanaochukua kadi za CCM ni wana CCM mioyoni mwao. Watu wanalinda nafasi zao ila mioyo ipo chadema na ACT (Zamani CUF).Nenda ofisi zote sasa hivi za CCM kaangalie maelfu wanavyochukua kadi zao mpya za CCM kama njugu
Ingekuwa hivyo CCM idingeshinda uchaguzi serikali za mitaa nchi nzima kwa asilimia 98Siyo wote wanaochukua kadi za CCM ni wana CCM mioyoni mwao. Watu wanalinda nafasi zao ila mioyo ipo chadema na ACT (Zamani CUF).