Pre GE2025 Ado Shaibu: Niko tayari kujiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu, kama CCM itathibitisha ina wanachama Milioni 12.5

Pre GE2025 Ado Shaibu: Niko tayari kujiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu, kama CCM itathibitisha ina wanachama Milioni 12.5

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.

Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.

Tumetoa kadi za kutosha za uanachama, na sasa tuna sajili kwa mfumo.

Na kupitia mfumo unajisajili mwenyewe alafu unasubiri kupokea kadi yako ya kijanja toka CCM

Yeye atulie na ACT wazalendo na asiwe wakutafuta sababu mapema za namna gani watashindwa ktk uchaguzi Oktoba, 2025.
 
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.

Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.

CCM ni wataalamu wa ku cook data
 
itasaidia nini sasa na hana athari zozote akiwa katibu mkuu au vinginevyo 🐒
 
Yaan wao wapo 1m mpaka julai iwe 10m halafu ishu ya ccm kuwa 12m isiwezekane
Mtaani watu wengi ni kijani ila hawapendi kujulikana sana
 
Yaani unaacha utapeli wa addo shaibu wa kufikisha wanachama mil 10 July unaongelea CCM kweli?
Yaani Chama kina miaka 48 na ni muunganiko wa TANU na Afro Shirazi wanachama wasifike milioni 12.5 lakini Chama kinachodaiwa kuwa na wanachama milioni 1 kifikishe wanachama milioni 10 mwezi July?
Come on.Hata kama ni mjinga hawezi kuwa mjinga kiasi hicho.
 
Nenda ofisi zote sasa hivi za CCM kaangalie maelfu wanavyochukua kadi zao mpya za CCM kama njugu
Siyo wote wanaochukua kadi za CCM ni wana CCM mioyoni mwao. Watu wanalinda nafasi zao ila mioyo ipo chadema na ACT (Zamani CUF).
 
Siyo wote wanaochukua kadi za CCM ni wana CCM mioyoni mwao. Watu wanalinda nafasi zao ila mioyo ipo chadema na ACT (Zamani CUF).
Ingekuwa hivyo CCM idingeshinda uchaguzi serikali za mitaa nchi nzima kwa asilimia 98
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Nakumbuka kuna siku Albert Msando kipindi kahamia ccm wakati wa Magufuli alipewa nafasi ahutubie, akaanza kwenda na data za ukweli alizotoka nazo upinzani kwa kusema ccm hana wanachama milioni sita. Wanaccm walimponda vibaya na kumuita bado ni mpinzani. Nadhani alikalishwa vikao vya ndani na kutishiwa, sikuwahi kumsikia akiongea tena hilo.
 
Back
Top Bottom