Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wanachama.waccm ni hewa kama ilivyo kuraKatibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.
Acha upunguani mimi siyo CCM, ukiwa timamu huwezi shabikia eti kufikia July ACT wazalendo watafikisha wanachama mil 10.CCM nyie ni wajinga na matapeli tupu
Kama wataweza kusajili wewe inakuuma nini?Acha upunguani mimi siyo CCM, ukiwa timamu huwezi shabikia eti kufikia July ACT wazalendo watafikisha wanachama mil 10.
CCM ina wanachama mil 8 tu wengi wao ni watoto , michepuko , chawa, wakwe na ndugu wa viongoziKatibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.
Yaani hao viongozi wapo wangapi?Unaongea pumba sana.Baba yako angetumia condom siku mama yako anatundikwa mimba tusingepata adha ya hizi pumba zako.Sikulaumu wewe namlaumu baba yako.What a waste of space and time!CCM ina wanachama mil 8 tu wengi wao ni watoto , michepuko , chawa, wakwe na ndugu wa viongozi
Matusi na uchawi ndio nguzo ya kapuku, Wewe kuolewa na mtoto wa Wassira haimaanishi ndio mnamiliki ccm.Yaani hao viongozi wapo wangapi?Unaongea pumba sana.Baba yako angetumia condom siku mama yako anatundikwa mimba tusingepata adha ya hizi pumba zako.Sikulaumu wewe namlaumu baba yako.What a waste of space and time!
Mrembo vipi nimegusa mahali pake?Nasikia unanyanyaswa bwana wako kashindwa kwenye uchaguzi.Umebakia kama kuku kakatwa kichwa hujui ulipo.Matusi na uchawi ndio nguzo ya kapuku, Wewe kuolewa na mtoto wa Wassira haimaanishi ndio mnamiliki ccm.
Ni rahisi tu, toeni hiyo orodha huyo Addo ajiuzulu
Sio kama Mzee MboweCCM ni matapeli tupu
Wanaiba kuraIngekuwa hivyo CCM idingeshinda uchaguzi serikali za mitaa nchi nzima kwa asilimia 98
Kwani kazi ya CCM kuripoti kwa Addo au yeye kazi yake kutoa ripoti kwa CCMMatusi na uchawi ndio nguzo ya kapuku, Wewe kuolewa na mtoto wa Wassira haimaanishi ndio mnamiliki ccm.
Ni rahisi tu, toeni hiyo orodha huyo Addo ajiuzulu
Sahihi hawasajili wanachama hewa kama hivyo vingine wanaogawa vikadi vilivyo printiwa internet cafe kwenye karatasi za manillaSISIEMU kwasasa wanasajili wanachama na ili upate kitambulisho sharti ukakichukue mwenyewe na upigwe picha.
Haiwezi kuthibitisha uongo. Uongo utabaki kuwa uongo tu.Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.
Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.
Sister upoSio kama Mzee Mbowe
Unajua maana ya kuthibitisha?Tumetoa kadi za kutosha za uanachama, na sasa tuna sajili kwa mfumo.
Na kupitia mfumo unajisajili mwenyewe alafu unasubiri kupokea kadi yako ya kijanja toka CCM
Yeye atulie na ACT wazalendo na asiwe wakutafuta sababu mapema za namna gani watashindwa ktk uchaguzi Oktoba, 2025.