Pre GE2025 Ado Shaibu: Niko tayari kujiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu, kama CCM itathibitisha ina wanachama Milioni 12.5

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.

Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.

Wanachama.waccm ni hewa kama ilivyo kura
 
SISIEMU kwasasa wanasajili wanachama na ili upate kitambulisho sharti ukakichukue mwenyewe na upigwe picha.
 
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.

Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.

CCM ina wanachama mil 8 tu wengi wao ni watoto , michepuko , chawa, wakwe na ndugu wa viongozi
 
  • CCM hakika 12M
  • Uchaguzi hauamuliwi na wingi wa wanachama - linganisha kura za Lowassa vs Magufuli
 
CCM ina wanachama mil 8 tu wengi wao ni watoto , michepuko , chawa, wakwe na ndugu wa viongozi
Yaani hao viongozi wapo wangapi?Unaongea pumba sana.Baba yako angetumia condom siku mama yako anatundikwa mimba tusingepata adha ya hizi pumba zako.Sikulaumu wewe namlaumu baba yako.What a waste of space and time!
 
Matusi na uchawi ndio nguzo ya kapuku, Wewe kuolewa na mtoto wa Wassira haimaanishi ndio mnamiliki ccm.

Ni rahisi tu, toeni hiyo orodha huyo Addo ajiuzulu
 
Mrembo vipi nimegusa mahali pake?Nasikia unanyanyaswa bwana wako kashindwa kwenye uchaguzi.Umebakia kama kuku kakatwa kichwa hujui ulipo.
 
Matusi na uchawi ndio nguzo ya kapuku, Wewe kuolewa na mtoto wa Wassira haimaanishi ndio mnamiliki ccm.

Ni rahisi tu, toeni hiyo orodha huyo Addo ajiuzulu
Kwani kazi ya CCM kuripoti kwa Addo au yeye kazi yake kutoa ripoti kwa CCM

Tukiwaambia upinzani hamna viongozi hatutanii

Hivi hicho alichoongea hata mwehu anajua Addo hazimo kichwani
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5.

Shaibu amesema chama chake cha ACT mpaka sasa kina wanachama milioni moja, na kwamba wako katika mpango wa kufikisha wanachama milioni 10 ifikapo Julai mwaka huu.

Haiwezi kuthibitisha uongo. Uongo utabaki kuwa uongo tu.
 
Tumetoa kadi za kutosha za uanachama, na sasa tuna sajili kwa mfumo.

Na kupitia mfumo unajisajili mwenyewe alafu unasubiri kupokea kadi yako ya kijanja toka CCM

Yeye atulie na ACT wazalendo na asiwe wakutafuta sababu mapema za namna gani watashindwa ktk uchaguzi Oktoba, 2025.
Unajua maana ya kuthibitisha?
 
Back
Top Bottom