Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kitumbua kipi?“Nataka vijana muwe big thinking, nje ya box. Na inaanza na vitu vidogo vidogo vya kila siku, mfano kwanini kitumbua ni round tu, kwanini hakuna yenye shape ya square”— Ruge Mutahaba.
Kuna kipi na kipiKitumbua kipi?
Swali zuri san vichwa debe watakuja na hoja za urojo!Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu Ado, ameikosoa vikali CCM kwa ukimya wake kuhusu madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho na Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, akidai hatua hiyo inaonesha unafiki wa kisiasa na kudhoofisha matumaini ya wananchi kupata utetezi kutoka kwa viongozi wao.
Ado alitoa kauli hiyo jana, Juni 14, 2026, jijini Dar es Salaam, alipohutubia mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali waliofika katika Makao Makuu ya ACT-Wazalendo kuchukua kadi na kujiunga rasmi na chama hicho.
Pia soma > Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
---
View attachment 3608096
"Na mimi nawaambia wana CCM, kama nyinyi mnashindwa kumtetea mwana CCM mwenzenu, ambayo ni ishara ya juu ya unafiki—yaani nyinyi mnajua mwenzenu katekwa, na huyu mwenzenu alikuwa balozi, alikuwa msemaji wa chama, mjumbe wa kamati kuu—mpaka leo hakuna statement yoyote ya CCM kulaani jambo lile?
Mimi nilimtarajia katibu mkuu wa CCM, Balozi Migiro, kweli kwa kuishi Umoja wa Mataifa, kukaa kwenye chombo chenye dhamana ya haki za binadamu duniani, nilidhani yeye ataleta nafuu kidogo. Kumbe CCM bwana, ukishaingia kule ndani, hata uwe na nafuu gani, na wewe unakuwa kwisha habari yako!
Leo hii hakuna kauli ya Balozi Migiro, hakuna kauli yoyote kupinga kutekwa kwa Humphrey Polepole."
Jiulize tu, what if CCM inahusika na utekaji?Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu Ado, ameikosoa vikali CCM kwa ukimya wake kuhusu madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho na Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, akidai hatua hiyo inaonesha unafiki wa kisiasa na kudhoofisha matumaini ya wananchi kupata utetezi kutoka kwa viongozi wao.
Ado alitoa kauli hiyo jana, Juni 14, 2026, jijini Dar es Salaam, alipohutubia mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali waliofika katika Makao Makuu ya ACT-Wazalendo kuchukua kadi na kujiunga rasmi na chama hicho.
Pia soma > Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
---
View attachment 3608096
"Na mimi nawaambia wana CCM, kama nyinyi mnashindwa kumtetea mwana CCM mwenzenu, ambayo ni ishara ya juu ya unafiki—yaani nyinyi mnajua mwenzenu katekwa, na huyu mwenzenu alikuwa balozi, alikuwa msemaji wa chama, mjumbe wa kamati kuu—mpaka leo hakuna statement yoyote ya CCM kulaani jambo lile?
Mimi nilimtarajia katibu mkuu wa CCM, Balozi Migiro, kweli kwa kuishi Umoja wa Mataifa, kukaa kwenye chombo chenye dhamana ya haki za binadamu duniani, nilidhani yeye ataleta nafuu kidogo. Kumbe CCM bwana, ukishaingia kule ndani, hata uwe na nafuu gani, na wewe unakuwa kwisha habari yako!
Leo hii hakuna kauli ya Balozi Migiro, hakuna kauli yoyote kupinga kutekwa kwa Humphrey Polepole."
porojo 🐒Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu Ado, ameikosoa vikali CCM kwa ukimya wake kuhusu madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho na Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, akidai hatua hiyo inaonesha unafiki wa kisiasa na kudhoofisha matumaini ya wananchi kupata utetezi kutoka kwa viongozi wao.
Ado alitoa kauli hiyo jana, Juni 14, 2026, jijini Dar es Salaam, alipohutubia mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali waliofika katika Makao Makuu ya ACT-Wazalendo kuchukua kadi na kujiunga rasmi na chama hicho.
Pia soma > Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
---
View attachment 3608096
"Na mimi nawaambia wana CCM, kama nyinyi mnashindwa kumtetea mwana CCM mwenzenu, ambayo ni ishara ya juu ya unafiki—yaani nyinyi mnajua mwenzenu katekwa, na huyu mwenzenu alikuwa balozi, alikuwa msemaji wa chama, mjumbe wa kamati kuu—mpaka leo hakuna statement yoyote ya CCM kulaani jambo lile?
Mimi nilimtarajia katibu mkuu wa CCM, Balozi Migiro, kweli kwa kuishi Umoja wa Mataifa, kukaa kwenye chombo chenye dhamana ya haki za binadamu duniani, nilidhani yeye ataleta nafuu kidogo. Kumbe CCM bwana, ukishaingia kule ndani, hata uwe na nafuu gani, na wewe unakuwa kwisha habari yako!
Leo hii hakuna kauli ya Balozi Migiro, hakuna kauli yoyote kupinga kutekwa kwa Humphrey Polepole."
Suala lalicha ya kumtetea ila hata kupaza sauti ya kinafiki kwa siku mbili tatu kuonesha wameguswa nae haijatokea
Cha unga mcheleKitumbua kipi?
sanaa yani mjitafakariSuala la
Polepole linatuvua nguo
CCM
Je watawezaje kulitetea taifa?Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu Ado, ameikosoa vikali CCM kwa ukimya wake kuhusu madai ya kutekwa kwa aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho na Balozi wa Tanzania, Humphrey Polepole, akidai hatua hiyo inaonesha unafiki wa kisiasa na kudhoofisha matumaini ya wananchi kupata utetezi kutoka kwa viongozi wao.