1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Basi anatafuta huruma Chadema ili wasiweke mgombea jimboni kwake, ili apambane na CCM na CUF.
.
sio huruma siasa ni mkakati .
Hakuna haja ya kugawana kura ili CCM ishinde
Basi anatafuta huruma Chadema ili wasiweke mgombea jimboni kwake, ili apambane na CCM na CUF.
Upinzani waungane kikamilifu Ili kuipoteza ccmBasi anatafuta huruma Chadema ili wasiweke mgombea jimboni kwake, ili apambane na CCM na CUF.
hakuna raia wajinga kama watz , wao wakishiba ugali na hatufu ya mchuzi wa dagaa bas mengine hayawahusu , tunahitaj mtutu kukamilisha kila agendaOparesheni LINDA DEMOKRASIA ya ACT WAZALENDO na NO REFORMS NO ELECTION ya CHADEMA ni Oparesheni muhimu sana kwenda kuwaeleza Wananchi wapigakura jinsi CCM inavyopora Kura zao.
Chadema wote nyumbu, akionekana mwenye akili nje ya chadema basi wanataka akawaongoze!Addo Shaibu ni kiongozi, anafaa kuwa Chadema maneno haya Zitto hawezi kuyasema.
Zamani ulikuwa ukiwa na kipara uanonekana umeelimika siku hizi ,,,,,Wajenzi wa mnara wa babeli Dorothy ananena vingine Ado ana nena vingine!
Nikweli. Ccm wamekua wakitumia vyombo vya usalama na office ya msajili wa vyama ku effect ukandamizaji wa Hali ya juu dhidi ya chama cha upinzani wanachokiona kina nguvu kwa wakati huo.Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake hakiwezi kufumbia macho matukio yanayoikumba CHADEMA, ikiwemo kuzuiwa kwa mikutano yao na kutoweka kwa baadhi ya viongozi wao.
Pia soma Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Baadhi ya watu wametuhoji kwa nini ACT inakuwa sauti ya CHADEMA. Leo nataka niwaambie Wanakilwa, ikiumizwa CHADEMA tukakaa kimya, anayefuata ni nani? Ni sisi ACT Wazalendo. Ikiumizwa CHADEMA tuchukulie kwamba tumeumizwa na sisi," amesema Shaibu.
Akiendelea kusisitiza mshikamano huo, amesema ACT Wazalendo inachukizwa na jeshi la polisi kwa kile alichokiita upendeleo wa wazi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa mikutano ya chama tawala hupewa ulinzi mkubwa kwa kusindikizwa na gari za polisi, huku mikutano ya upinzani ikizuiwa.
"Tunafahamu viongozi wao wawili hawaonekani mpaka sasa katika kipindi cha wiki chache zilizopita. Tunafahamu pia kuwa jeshi la polisi limezuia mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliopangwa kufanyika Machi 25, 2025, kule Mbarali, Mbeya. Ninawaambia ndugu zetu wa CHADEMA tupo pamoja, tutashirikiana, na tunalionya jeshi la polisi kwa kufanya kazi kwa ubaguzi. Kwa nini CCM wanapewa mpaka magari ya polisi yanasomba watu kwenye mikutano yao, lakini mikutano ya upinzani inawekewa vikwazo?" amehoji.View attachment 3283894
Wakati wa ukawa ulikuwa haujazaliwa?Upinzani waungane kikamilifu Ili kuipoteza ccm
Waungane kikamilifu this time! Changamoto za Ukawa zisiwepo tena!Wakati wa ukawa ulikuwa haujazaliwa?
Mimi ni muumini wa Constructive Dialogue, mambo ya Mtutu ni hatari sana haswa kwa Nchi hii ya Tanzania, kwa maana ina Makabila mengi sana na Dini nyingi, na kila mtu ana interest zake,unaweza kusema ubebe mtutu mara ghafla unasikia Answaar Suna nao wamebeba mtutu wanagombania mahakama ya kadhi mara Kabila la Wachaga nao wamebeba mtutu wanataka kujitenga na jamhuri, mara walokole nao wanapigania Tanzania itawaliwe na amri kumi za Mungu nk. Nk.hakuna raia wajinga kama watz , wao wakishiba ugali na hatufu ya mchuzi wa dagaa bas mengine hayawahusu , tunahitaj mtutu kukamilisha kila agenda
Zzk alikuwa mwambata wa sisiemu, sasa Ndoa imeishaChama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake hakiwezi kufumbia macho matukio yanayoikumba CHADEMA, ikiwemo kuzuiwa kwa mikutano yao na kutoweka kwa baadhi ya viongozi wao.
Pia soma Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Baadhi ya watu wametuhoji kwa nini ACT inakuwa sauti ya CHADEMA. Leo nataka niwaambie Wanakilwa, ikiumizwa CHADEMA tukakaa kimya, anayefuata ni nani? Ni sisi ACT Wazalendo. Ikiumizwa CHADEMA tuchukulie kwamba tumeumizwa na sisi," amesema Shaibu.
Akiendelea kusisitiza mshikamano huo, amesema ACT Wazalendo inachukizwa na jeshi la polisi kwa kile alichokiita upendeleo wa wazi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa mikutano ya chama tawala hupewa ulinzi mkubwa kwa kusindikizwa na gari za polisi, huku mikutano ya upinzani ikizuiwa.
"Tunafahamu viongozi wao wawili hawaonekani mpaka sasa katika kipindi cha wiki chache zilizopita. Tunafahamu pia kuwa jeshi la polisi limezuia mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliopangwa kufanyika Machi 25, 2025, kule Mbarali, Mbeya. Ninawaambia ndugu zetu wa CHADEMA tupo pamoja, tutashirikiana, na tunalionya jeshi la polisi kwa kufanya kazi kwa ubaguzi. Kwa nini CCM wanapewa mpaka magari ya polisi yanasomba watu kwenye mikutano yao, lakini mikutano ya upinzani inawekewa vikwazo?" amehoji.View attachment 3283894
👆Jembe. Ado Yuko vizuri sanaChama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake hakiwezi kufumbia macho matukio yanayoikumba CHADEMA, ikiwemo kuzuiwa kwa mikutano yao na kutoweka kwa baadhi ya viongozi wao.
Pia soma Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Baadhi ya watu wametuhoji kwa nini ACT inakuwa sauti ya CHADEMA. Leo nataka niwaambie Wanakilwa, ikiumizwa CHADEMA tukakaa kimya, anayefuata ni nani? Ni sisi ACT Wazalendo. Ikiumizwa CHADEMA tuchukulie kwamba tumeumizwa na sisi," amesema Shaibu.
Akiendelea kusisitiza mshikamano huo, amesema ACT Wazalendo inachukizwa na jeshi la polisi kwa kile alichokiita upendeleo wa wazi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa mikutano ya chama tawala hupewa ulinzi mkubwa kwa kusindikizwa na gari za polisi, huku mikutano ya upinzani ikizuiwa.
"Tunafahamu viongozi wao wawili hawaonekani mpaka sasa katika kipindi cha wiki chache zilizopita. Tunafahamu pia kuwa jeshi la polisi limezuia mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliopangwa kufanyika Machi 25, 2025, kule Mbarali, Mbeya. Ninawaambia ndugu zetu wa CHADEMA tupo pamoja, tutashirikiana, na tunalionya jeshi la polisi kwa kufanya kazi kwa ubaguzi. Kwa nini CCM wanapewa mpaka magari ya polisi yanasomba watu kwenye mikutano yao, lakini mikutano ya upinzani inawekewa vikwazo?" amehoji.View attachment 3283894
hivi zito ni kiongozi wa chama gani vile gentleman?🐒Addo Shaibu ni kiongozi, anafaa kuwa Chadema maneno haya Zitto hawezi kuyasema.