PreGE2025 Ado Shaibu: Tukikaa kimya CHADEMA ikiumizwa, tutafuata sisi ACT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Oparesheni LINDA DEMOKRASIA ya ACT WAZALENDO na NO REFORMS NO ELECTION ya CHADEMA ni Oparesheni muhimu sana kwenda kuwaeleza Wananchi wapigakura jinsi CCM inavyopora Kura zao.
hakuna raia wajinga kama watz , wao wakishiba ugali na hatufu ya mchuzi wa dagaa bas mengine hayawahusu , tunahitaj mtutu kukamilisha kila agenda
 
Nikweli. Ccm wamekua wakitumia vyombo vya usalama na office ya msajili wa vyama ku effect ukandamizaji wa Hali ya juu dhidi ya chama cha upinzani wanachokiona kina nguvu kwa wakati huo.
 
hakuna raia wajinga kama watz , wao wakishiba ugali na hatufu ya mchuzi wa dagaa bas mengine hayawahusu , tunahitaj mtutu kukamilisha kila agenda
Mimi ni muumini wa Constructive Dialogue, mambo ya Mtutu ni hatari sana haswa kwa Nchi hii ya Tanzania, kwa maana ina Makabila mengi sana na Dini nyingi, na kila mtu ana interest zake,unaweza kusema ubebe mtutu mara ghafla unasikia Answaar Suna nao wamebeba mtutu wanagombania mahakama ya kadhi mara Kabila la Wachaga nao wamebeba mtutu wanataka kujitenga na jamhuri, mara walokole nao wanapigania Tanzania itawaliwe na amri kumi za Mungu nk. Nk.

Very Dangerous!
 
Zzk alikuwa mwambata wa sisiemu, sasa Ndoa imeisha
 
👆Jembe. Ado Yuko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…