DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Akizungumza Ado kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba, Ilemela, Mwanza, tarehe 10 Septemba 2026. Amesema haiwezekani Tume ya Jaji Chande ikiri kuwa watu 518 waliuawa lakini mpaka leo hakuna aliyewajibika angalau kwa kujiuzulu.