DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameendelea kusisitiza kuwa msimamo wa Chama hicho ni kuona Uwajibikaji kwa matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025.
Akizungumza Ado kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata ya Bugogwa, Mtaa wa Igomba, Ilemela, Mwanza, tarehe 10 Septemba 2026. Amesema haiwezekani Tume ya Jaji Chande ikiri kuwa watu 518 waliuawa lakini mpaka leo hakuna aliyewajibika angalau kwa kujiuzulu.
ok.🐒Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado ameendelea kusisitiza kuwa msimamo wa Chama hicho ni kuona Uwajibikaji kwa matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025.