GE2025 Ado Shaibu: Wapo wengi wanatoka CCM wanabisha hodi ACT, tunawakaribisha

GE2025 Ado Shaibu: Wapo wengi wanatoka CCM wanabisha hodi ACT, tunawakaribisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho, leo Agosti 6, 2025, amesema kuna wimbi kubwa la Watu wanaotaka kujiunga nao wakitokea CCM na Vyama vingine vya upinzani na kwamba wao wanawakaribisha.
 
Upinzani wa Tanzania ni jumia tumbo.hawaaminiki
 
Back
Top Bottom