DogoWaNjombe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,284 Reaction score 7,708 Aug 6, 2025 #1 Your browser is not able to display this video. Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho, leo Agosti 6, 2025, amesema kuna wimbi kubwa la Watu wanaotaka kujiunga nao wakitokea CCM na Vyama vingine vya upinzani na kwamba wao wanawakaribisha.
Your browser is not able to display this video. Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho, leo Agosti 6, 2025, amesema kuna wimbi kubwa la Watu wanaotaka kujiunga nao wakitokea CCM na Vyama vingine vya upinzani na kwamba wao wanawakaribisha.
gimanini JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,910 Reaction score 1,982 Aug 6, 2025 #2 Upinzani wa Tanzania ni jumia tumbo.hawaaminiki