Ado Shaibu: Yuko wapi aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi?

Ado Shaibu: Yuko wapi aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi?

..huyo sasa ndio yuko " eda " ya kweli.

..sio wengine wanadai wako eda, lakini kila siku wanapiga mapicha, na wakati mwingine wanakumbatiwa.
Eda.
Screenshot_20260913_072308_Gallery.jpg
 
Nchimbi amewekwa kizuizini na inasemekana amewekwa kwenye ile nyumba aliyowekwa hayati Abdul Jumbe kule Kigamboni na atakuwa humo kizuizini maisha yake yote.
Akina Samia na ccm yao mwisho miaka minne ijayo hivyo huyo atapatikana tu labda wamuue.
 
Kama leo hataonekana Kanisani itakuwa tatizo. Nchimbi kwa Ukatoliki wake hawezi kukaa dominika zote hizi bila kupokea mafumbo matakatifu.
 
Nchimbi hajaenda kukabidhi Ofisi Kwa Makamu mpya hata kutoa pole Kwa wafiwa hajaenda,
 
Back
Top Bottom