Ado Shaibu: Yuko wapi aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi?

Nchimbi amewekwa kizuizini na inasemekana amewekwa kwenye ile nyumba aliyowekwa hayati Abdul Jumbe kule Kigamboni na atakuwa humo kizuizini maisha yake yote.
Akina Samia na ccm yao mwisho miaka minne ijayo hivyo huyo atapatikana tu labda wamuue.
 
Akina Samia na ccm yao mwisho miaka minne ijayo hivyo huyo atapatikana tu labda wamuue.
Inasemekana tayari wameishamuua mkuu. Mpaka sasa familia yake imezuiliwa kudai mwili wakazike.
 
Kama leo hataonekana Kanisani itakuwa tatizo. Nchimbi kwa Ukatoliki wake hawezi kukaa dominika zote hizi bila kupokea mafumbo matakatifu.
 
Nchimbi hajaenda kukabidhi Ofisi Kwa Makamu mpya hata kutoa pole Kwa wafiwa hajaenda,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…