Adobe Flash Player 10

Adobe Flash Player 10

Keil

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2007
Posts
2,214
Reaction score
804
Wataalam wa IT,

Nime-install Internet Explorer 8 kwenye computer yangu ikavuruga Adobe Flash Player. Kuna baadhi ya vitu siwezi kufanya bila ya kuwa na Adobe Flash Player 10.

Kila nikijaribu kui-dowload inanigomea, naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa easiest way ya ku-download na ku-install hiyo kitu.
 
Keil, kuna file hapo chini liko attached nime download kutoka FileHippo.com - Download Free Software na kuli-zip. Naomba ujaribu kama litakufaa.
Good luck!
 
Attachments

Install hilo file alilotuma Steve D,ikigoma nakushauri utumie Google Chrome au Opera Browsers wakati unatafuta solution!!IE8 some times ina mawenge sana!!
 
Back
Top Bottom