poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 453
- 175
Pole mkuu.Kama Mimi tu......niliishusha Photoshop 2022 but Kila nikiinstal holaa
....
Natumia Windows version 10.0, na Adobe ni 2020 na 2019unatumia windows gani...?
unaweza kutumia version za chini kama hiyo ni adobe 6 jaribu 5.
lakini kubwa zaidi badili. windows unayotumia hiyo windos specification zake haziendani na hiyo Software...
Windows 10 na Ad
Natumia Windows version 10.0, na Adobe ni 2020 na 2019
Shule ngumu sanaHabari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
View attachment 2815156
Maelekezo aliyotoa Prince Mhando yapoShule ngumu sana
Na sasa nadhani ndio UMUHIMU wa IT na watu waliosomea masuala ya computer unakuja hapa nashukuru sana hawa watu kufanya Mambo kua complicated at least sasa atafahamika nani amesoma computer na nani hajasoma, yaan washikirie hapo hapo
Kuna Mama Juzi nimemrekebishia simu alibonyeza sehemu simu ikawa inajifunga kila akiiwasha kumbe inabidi abonyeze sehemu ya power off na sehemu ya kushusha sauti ile hali inatoweka akawa anashindwa akataka kuipeleka kwa fundi yaan pale fundi alikua anaenda kula Pesa ya kibwete kabisa
Sasa wewe hapo umeambiwa ufanye upgrade kwenda windows 10 alafu ukiinstall utakubari unapagawa nini? Msogezee IT ale Pesa ya ubwete usijifanye unajua vitu hujui
Yaan washikirie hapo hapo turudi enzi zile za kuwaunganishia na kuwafungulia watu FB na WhatsApp alafu unalipwa
Hii ni Fursa,
Huyo jamaa hovyo kabisa, mi natumia windows cracked kabisa tena, windows 10 lite,na adobe mpaka ya 2030 itapiga kazi, shida ya wabongo ni ujuaji mandaazi.Maelekezo aliyotoa Prince Mhando yapo
Vizuri sana. Wewe aliyekuambia lazima u upgrade ndio hizo program zitainstall nani?
Hizo Adobe zinakubali hata Kwa windows za chini ya 10. Fahamu waTZ wengi hawatumii Windows genuine wala program genuine.
Hapo badala ya kutoka msaada unaleta ujuaji na hujui kitu.
Soma maelekezo uliyopewa sio unakaza matako wewe boya, ujuaji my ass mnapenda janja janja kila sehemu maelekezo yanasemaje au kusoma haujui?Huyo jamaa hovyo kabisa, mi natumia windows cracked kabisa tena, windows 10 lite,na adobe mpaka ya 2030 itapiga kazi, shida ya wabongo ni ujuaji mandaazi.
Na wewe pia pimbi tu maelekezo ya screenshot yanasemaje au kusoma haujui? Unajitia kujua usichokijua?Maelekezo aliyotoa Prince Mhando yapo
Vizuri sana. Wewe aliyekuambia lazima u upgrade ndio hizo program zitainstall nani?
Hizo Adobe zinakubali hata Kwa windows za chini ya 10. Fahamu waTZ wengi hawatumii Windows genuine wala program genuine.
Hapo badala ya kutoka msaada unaleta ujuaji na hujui kitu.
"In the near future, anyone who's online will be able to have a personal assistant powered by artificial intelligence that's far beyond today's technology."Huyo jamaa hovyo kabisa, mi natumia windows cracked kabisa tena, windows 10 lite,na adobe mpaka ya 2030 itapiga kazi, shida ya wabongo ni ujuaji mandaazi.
Ukibishana na mjinga utakua mjinga, mi sio mjinga.Soma maelekezo uliyopewa sio unakaza matako wewe boya, ujuaji my ass mnapenda janja janja kila sehemu maelekezo yanasemaje au kusoma haujui?
Umeambiwa formula ya kutafuta eneo la trapeza ni 1/2(a+b)c unaleta umaandazi wako hapa? Fuata maelekezo sio kujifanya unataka kupingana na wenye setup yao kenge mmoja wewe
Ila wewe ni kubwa jinga kujifanya kujua kumbe haujui, 👉💩Ukibishana na mjinga utakua mjinga, mi sio mjinga.
Kubwa jingaUkibishana na mjinga utakua mjinga, mimisio mjinga.
Nimejaribu Master collection na separate zote zimekataaUna install Master Collection au Separate.
Cs6 master Collection no all weather.
#win32/64.
Fuata maelekezo wewe fuata maelekezo acheni janja janja maelekezo yanasemaje? Au ndio shule ngumu?Nimejaribu Master collection na separate zote zimekataa