Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

Fuata maelekezo wewe fuata maelekezo acheni janja janja maelekezo yanasemaje? Au ndio shule ngumu?

Windows uliyonayo ni below expectations kwa hio umepewa uelekeo kwamba ili hio setup iingie weka Windows 10 version 1803 or later

Sawa mtaalam tutafata maelekezo Yako.
Shukrani sana Kwa msisitizo wa ushauri wako. Ubarikiwe sana.
 
Sawa mtaalam tutafata maelekezo Yako.
Shukrani sana Kwa msisitizo wa ushauri wako. Ubarikiwe sana.
Windows 10 latest versions hizo nimekupa link ushindwe mwenyewe tu kuzidownload na kuendelea na Mambo mengine, namaanisha latest version wewe unatumia Old version
 
System incompatibility

Nadhani hapo toleo ambalo ni advanced litaloweza kuendana na OS yako ni Ps 2019

Kuanzia 2020 na kuendelea hasi support kwenye Windows yeyote ambayo iko chini ya 10

Hata zile cs6 nazo za kisasa nimeziona zinagoma ku support kwenye Windows za kizamani.
 
System incompatibility

Nadhani hapo toleo ambalo ni advanced litaloweza kuendana na OS yako ni Ps 2019

Kuanzia 2020 na kuendelea hasi support kwenye Windows yeyote ambayo iko chini ya 10

Hata zile cs6 nazo za kisasa nimeziona zinagoma ku support kwenye Windows za kizamani.
Don't run around the bush go straight mwambie maelekezo kwenye screenshot uliyoiweka humu yanasema uweke windows 10 latest kuanzia version 1803 na kuendelea uninstall hio Os uliyonayo sasa weka Os nyingine sio unamung'unya maneno

Nb: Os = Operating system i.e. Windows, Linux, Unix, etc
 
Unataka aforce kisichowezekana? Ungekua wewe ungeweza?
Kuaccept Kila notification w/o more test ....Kuna msg unaweza letewa ukaishia hapo na kutii ... Hulu Wengine wanajaribu na wanapita nayo.
 
Habari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
View attachment 2815156
Mkuu japo mie sio mtaalamu wa IT mie ni muuza majeneza tu lakini hapo mbona simple tu kila kitu kimejieleza
Unatakiwa ku-upgrade operation system (Windows)
Yaani uweke window ambayo ni latest maana kuna versions tofauti za windows hata hiyo windows 10 ina matoleo tofauti hivyo yawezekana hiyo adobe ni toleo ambalo ni latest hivyo inahitaji window ambayo ni latest pia
So hapo unaweza kuformat computer yako na kuweka window mpya au unaweza ku-upgrade window iliyopo kuwa latest...wadau na wataalamu zaidi wataongezea
 
Back
Top Bottom