Adolf Hitler na ndoto ya kuitawala dunia


Acha kusoma vitu shallow Shallow,
Ugomvi wa Uingereza na Ujerumani umeanza hata kabla ya Hitler kuwepo. Alichokifanya Hitler ni mwendelezo wa ndoto za wakina Chancellor Otto Von Bismarck na The Kaiser.

Tatizo la zile vita za dunia lilikuwa siyo Hitler, Kaiser Wilhelm, Mussolini, General Franco au Ufashisti. Tatizo lilikuwa ni mfumo wa Siasa na Kiuchumi ambao ndiyo uliigawa dunia na kupeleka machafuko huko Barani Ulaya.

Professor Frantz Fanon anasema hivi,
"World War One was a terrible miscalculation of the imperialist powers" hivyo chanzo cha matatizo yote yale Ulaya ni Imperialism tu. (Uchumi, Uchumi, Uchumi)

Ukisoma vizuri Historia utagundua vitu vichache tu, ambavyo wewe hapa hujaviweka aidha kwa maksudi au kutokujua:

Mosi,
Mnamo Karne ya 19 hadi 20 mfumo wa Uchumi wa dunia ulikuw ni Ubepari. Ndugu zangu wajamaa wanasema Imperialism. Sasa katika Imperialism kuna kitu wanazuoni wanakiita The Basic Feature of the mode of Production.

The Export of Capital and Maximization of Profit were the Basic Features of Imperialism. Hivyo ili mataifa ya Ulaya yaweze kuishi na kutajirika ni lazima yapeleke mitaji yao nje ya mabara ya Ulaya na kuuza.

Sambamba na hilo,
Ili utajirike haraka ulihitaji Area for Investment, Cheap Labor na Unchallenged Market. Hapa taifa linajenga kitu kinachoitwa Colonial Economy. Hivyo taifa lenye viwanda lifanikiwe kuishi katika dunia ni lazima liwe na makoloni.

Ujerumani alikuwa na makoloni,
Baada ya vita wakamnyang'anganya uchumi wake ukadorora ndiyo wakina Adolf Hitler wakatokea. (Hitler was not the cause of the crises, but the effect of a failed economic system that defined world politics in the 20 Century)

Hata asingetokea Hitler nakuhakikishia The World was already doomed to war. Wangetokea wendawazimu wengine tu kwasababu Tatizo la Imperiali lilikuwa halijatibiwa na The Versailles Peace Treaty na The League of Nations.

NB: Hitler asingetokea basi vita y Pili ya Dunia ingepiganwa baina ya Mabepari wa Ulaya na Wakomunisti wa Urusi.

Lazima ukumbuke kwamba Wakina Trotsky, Lenin na Stalin wote walikuwa na mpango wa kusambaza ukomunisti dunia nzima kwa njia ya vita (Soma Speech ya Hitler siku anatangaza vita dhidi ya Urusi). Ilibaki kidogo sana Ujerumani, Italia na Uhispania wawe Wakomunisti lakini wafashisti wakawawahi.

NB: Hii ni historia ya form two bwana.
Vipi umeshasahau ???
Teh teh teh teh
 
Asante Kunijibu, unajua nakukubali uko mbobezi kweli kweli. Ubarikiwe mwaka 2018. Shida yako uko too bookish and narrow analytical

Majibu yako ni matokeo ya Mpishi ya Anti Hitlers.

Nashangaa unaamini German hawana haki ya kupigania u Super Power.

Nikupe story Kwanza.

Nikiwa chuo miaka 10 iliyopita Mwalimu wangu aliuuza swali kila Mwanafunzi aseme nchi gani itakuwa next Superpower baada ya US.

Mimi nilisema German. Wengine wengi Russia. Yeye Mwalimu akasema China.

Nirudi kwenye mada.

Sababu za World war 2. Ni German kutaka kuwa Super power haraka..

Hitler alivutiwa na Roman empire ndo sababu hata utawala wake akauita third Reich.

First Reich ikiwa ni Roman Empire.
Second Reich Ukiwa German Empire ya Enzi za Bismarck.
Third Reich ni Yake German ya Hitler.

Sasa jiulize Je. First Reich na Second Reich zilitawala Dunia. Jibu common ni hapana tawala hizi nilikuwa na Nguvu kuwa kwa wakati wao..

Kwa ndoto hiyo vita ilikuwa haiepukiki kwani vikwazo vikubwa kuipata Third Reich ilikuwa ni influence ya Uingereza, Us na Russia.

Hivyo alizishambulia nchi hizo lengo likiwa kupindua na kuweka vibaraka wake.

Hii ni kama US ilivyofanya Japan, Korea na nk. Kwani US wanatawala Japan. Lah... Walimufanya Hirohito puppet WAP hadi akakana Yeye si Mungu.

Waliokuwa na Vision ya kutawala kikoloni ni Wajapan.

Waingereza ndo Wachawi wa Wajeruman. All the time wanabifu la Millennium. Si unaona baada ya German kuwa na influence zaidi yao wanakimbi EU.

Team German tunajua ikianguka US influence yote ya West inakuwa Mapegani mwa German.

Kisha mtiti wa Stalingrad unarudiwa. Hahaha

Nisemehe kwa kuweka kasitory.
 
Kitu unasahau.

Ukiyachambua mataifa makuu katika WWii. Yaani German, Us UK na Japan. Ukiyatazama moja moja ukatoa miungano na urafiki.

Hakuna taifa nilikuwa na uwezo kwenda vitani na german peke yake kwa Mwezi mmoja bila kuanguswa.

German ndo ilikua taifa kuu kiuchumi na kitekinolojia shida ilikuwa halina ushawishi kidiplomasia.

Hivyo sababu za kiuchumi ni dhaifu sana.

Sababu kuu ni ideology ya kutaka ukuu kidunia.

Nakwambia Russia ingeangushwa kama si US Na UK.
 

Sababu ya kiuchumi ni dhaifu ???
Kweli kabisa na wewe umejiaminisha hili ???
Teh teh teh, now i see the problem........

Umeamini kabisa kwamba Ideology tuu ndiyo ilisababisha Ujerumani kutaka kutawala yote dunia na kuanzisha vita za dunia ???

Uwe na siku njema mkuu......
 
Acheni kupotosha Dunia kuwa kambi za mateso zilifunguliwa kuwatesa wayahudi tu, yeye alizifungua kuwafunga wale ambao walionekana kuwa hawana msaada kwa maana ya kufanya kazi , ubunifu katika tecnolojia nk hata wajerumani waliokuwa legelege waliteswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…